miss wa kinyaru
JF-Expert Member
- Aug 28, 2012
- 542
- 356
mwache akue kwanza, na mimi niendelee na wakubwa wezangu naona huyu atanisumbua, kila akiona mwanamke mrembo atataka ajaribu maana hajajaribu, kisa cha kufa na pressure! akhaaausifanye hivyo, yakupasa kuwa mvumilivu coz kila mwanadamu anamapungufu yake. bado mapema kugive up. ndo maana nikakuomba umuingize ukubwani. Excellent hajajua hata wivu ni nini so msamehe bure. mia
Dalaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii nipe muda kidogo tu. furaha utaipata na utaridhika.. nitarejeaNicas Mtei nimekumis sana kutoka moyoni kwangu dalaliiiiiiiiii japo umentupa ka suruali iliyotoboka matakoni haahahahahahaah
baby usiniogope jamani,nafaham maumivu ya mapenzi,nakependa sanamwache akue kwanza, na mimi niendelee na wakubwa wezangu naona huyu atanisumbua, kila akiona mwanamke mrembo atataka ajaribu maana hajajaribu, kisa cha kufa na pressure! akhaaa
Kama unafahamu maumivu ya mapenzi na unasema unanipenda mbona unanifanyia hivi?baby usiniogope jamani,nafaham maumivu ya mapenzi,nakependa sana