Wild sniper JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 4,399 Reaction score 8,629 Sep 25, 2022 #21 What if miaka inaenda unagonga 40 na mambo hayajakaa sawa sababu hamna guarantee kuwa utatoboa?
M mzizi1 JF-Expert Member Joined Oct 9, 2017 Posts 265 Reaction score 703 Sep 26, 2022 #22 Wild sniper said: What if miaka inaenda unagonga 40 na mambo hayajakaa sawa sababu hamna guarantee kuwa utatoboa? Click to expand... Huu unakua ni ufala
Wild sniper said: What if miaka inaenda unagonga 40 na mambo hayajakaa sawa sababu hamna guarantee kuwa utatoboa? Click to expand... Huu unakua ni ufala
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Sep 26, 2022 #23 Hata kama unakula na kusaza, hakuna kuoa....ndoa ni chuma ulete kwetu wanaume
Boiker JF-Expert Member Joined Oct 26, 2015 Posts 349 Reaction score 465 Sep 27, 2022 #24 Ndoa sio ya kila mtu…. Mwenye kuweza na aoe asiyeweza aache…. Tusipangiane Maisha[emoji23][emoji23][emoji23] Manara kaoa pisi kali kinoma yaan ule msiba[emoji1][emoji1]
Ndoa sio ya kila mtu…. Mwenye kuweza na aoe asiyeweza aache…. Tusipangiane Maisha[emoji23][emoji23][emoji23] Manara kaoa pisi kali kinoma yaan ule msiba[emoji1][emoji1]