Kama kula kwako ni kwa shida, nakushauri usioe

Kama kula kwako ni kwa shida, nakushauri usioe

What if miaka inaenda unagonga 40 na mambo hayajakaa sawa sababu hamna guarantee kuwa utatoboa?
 
Hata kama unakula na kusaza, hakuna kuoa....ndoa ni chuma ulete kwetu wanaume
 
Ndoa sio ya kila mtu….

Mwenye kuweza na aoe asiyeweza aache….

Tusipangiane Maisha[emoji23][emoji23][emoji23]

Manara kaoa pisi kali kinoma yaan ule msiba[emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom