Kama kuna jambo limenishinda, ni kulala mapema

Noma sana madhara yake hadi utendaji kazi unakua siyo mzuri maana unashindwa kuishi ndani ya wakati
Hi hata elon musk ili mkuta, ali kuwa na lala saa 1 tu.
๐Ÿ‘‰Ali sema ni kitu hatari aisee, sema mi napenda masaa 3-4 tu
 
Mapengo yapo ya kutosha mtu wangu,

Nimeanza toa meno tokea nikiwa darasa la pili,

La mwisho nimetoa mwaka juzi tandika lilikuwa la 6,lilinisumbua kidonda,

hapa linaninyima usingizi kishenzi,
Meza Vivian asubui, mchana na jioni.
๐Ÿ‘‰U will be fine tu, ila nioneshe mapengo๐Ÿ˜„๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ