Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Hi hata elon musk ili mkuta, ali kuwa na lala saa 1 tu.Noma sana madhara yake hadi utendaji kazi unakua siyo mzuri maana unashindwa kuishi ndani ya wakati
👉Ali sema ni kitu hatari aisee, sema mi napenda masaa 3-4 tu