Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Umetafakari sawasawa kabisaHuu ndio mtazamo wangu hasa baada ya kusoma taarifa iliyotolewa na wajeda. Binafsi naona taarifa yao imethibitisha jambo fulani ila kwa kutumia akili za kiutuuzima.
Kwa sasa, Inawezekana kabisa ameshashauriwa akae pembeni, tatizo ni jinsi gani wataueleza umma.
Nahisi kuna vikao vya mashauriano vinaendelea.
Na pia muda wa kutoa tamko tangu yule mjeda aongee, umeniongezea maswali zaidi.
Polepole anabakia kuwa one of the best whistle blowers wa muda wote katika nchi hii. Amepigana vita ambayo CHADEMA kwa Umoja wao wameshindwa.Huu ndio mtazamo wangu hasa baada ya kusoma taarifa iliyotolewa na wajeda. Binafsi naona taarifa yao imethibitisha jambo fulani ila kwa kutumia akili za kiutuuzima.
Kwa sasa, Inawezekana kabisa ameshashauriwa akae pembeni, tatizo ni jinsi gani wataueleza umma.
Nahisi kuna vikao vya mashauriano vinaendelea.
Na pia muda wa kutoa tamko tangu yule mjeda aongee, umeniongezea maswali zaidi.
Kaka leo umekuwa mpole sana.Write your reply...kuna watu wapuuzi humu hahaha
Yaani si kwamba ni wapuuz tu, bali wapo nyuma ya muda na ni takatakaWrite your reply...kuna watu wapuuzi humu hahaha
Wazo zuri sanaAjidondoshe jukwaani, baada ya hapo hosp mwezi, then taarifa inakuja kuwa atakuwa kwa matibabu miezi 6. Hapa tunatoboa.
Alisema document yoyote ya ufisadi ikipotea itapotea na WewePolepole anabakia kuwa one of the best whistle blower wa muda wote katika nchi hii. Amepigana vita ambayo CHADEMA kwa Umoja wao wameshindwa.
Si alimuweka ndani Lissu kwa order nae zamu yake sasa πView attachment 3483443Rostom anawaza anatokaje hapa π
Tapeli rostam anahaha
Rostam atakuwepo nasi hata kama nchi iongozwe na kumbikumbi. Sioni mlango wake wa kutokea sema tu udalali wake na biashara za ujanjaujanja vitapungua.View attachment 3483443Rostom anawaza anatokaje hapa π