mnamshangilia mtu ambae tayari rip hahahaKaka leo umekuwa mpole sana.
Umesikia wapNasikia tayari amewekwa mtu kati na tayari yupo kwenye vikao na viongozi wa vyombo vya usalama.
Ukisikia kitu humu kuchukue kwa kiasiU
Umesikia wap
When the Captain whispers the earth listensWhen captains whisper, the earth listens. Truth now marches louder than weapons. The ghost of Kinatawala still lingers, and October 17 is etched as the day silence shatters, masks fall, and borrowed thrones tremble.”
Uxuri wako wengiii, hahaha 😆mnamshangilia mtu ambae tayari rip hahaha
Asubiri aoneRostam atakuwepo nasi hata kama nchi iongozwe na kumbikumbi. Sioni mlango wake wa kutokea sema tu udalali wake na biashara za ujanjaujanja vitapungua.
Rostam hawezi yumba kisa meza imepinduka, yupo tangu Abuu anauza matairi Kariakoo hadi leo. Tangu Polepole amekondeana, si mtu wa kupepesuka kisa chura kaondoka.
Hawa huwa wanajiandaa kisheria hata Magufuli alikuwa smart kupuuzia biashara zake otherwise serikali ingelipa fidia za kutosha kwa amri ya mahakama ya uwekezaji duniani.
Kikwete hapatikani
Oman au UAE hizo Nchi mbiliNaskia anamipango ya kukimbilia oman
Kizimkazi outZipo taarifa kutoka ndani ya mzunguko, CCM Taifa imeitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu usiku huu tarehe 04 Oktoba 2025. Wajumbe wanaletwa kwa ndege na helikopta.
Huu ndio mtazamo wangu hasa baada ya kusoma taarifa iliyotolewa na wajeda. Binafsi naona taarifa yao imethibitisha jambo fulani ila kwa kutumia akili za kiutuuzima.
Kwa sasa, Inawezekana kabisa ameshashauriwa akae pembeni, tatizo ni jinsi gani wataueleza umma.
Nahisi kuna vikao vya mashauriano vinaendelea.
Na pia muda wa kutoa tamko tangu yule mjeda aongee, umeniongezea maswali zaidi.
Awamu hii mchezo uko tofauti mzeeRostam atakuwepo nasi hata kama nchi iongozwe na kumbikumbi. Sioni mlango wake wa kutokea sema tu udalali wake na biashara za ujanjaujanja vitapungua.
Rostam hawezi yumba kisa meza imepinduka, yupo tangu Abuu anauza matairi Kariakoo hadi leo. Tangu Polepole amekondeana, si mtu wa kupepesuka kisa chura kaondoka.
Hawa huwa wanajiandaa kisheria hata Magufuli alikuwa smart kupuuzia biashara zake otherwise serikali ingelipa fidia za kutosha kwa amri ya mahakama ya uwekezaji duniani.
Imepita ndege hapa usiku huu inawahi kia then huko bongodaslm,ngoja tuoneZipo taarifa kutoka ndani ya mzunguko, CCM Taifa imeitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu usiku huu tarehe 04 Oktoba 2025. Wajumbe wanaletwa kwa ndege na helikopta.
Pole pole si binadamu wa kawaidaPolepole anabakia kuwa one of the best whistle blower wa muda wote katika nchi hii. Amepigana vita ambayo CHADEMA kwa Umoja wao wameshindwa.