Kama kuna kaya hata moja hapa nchini iliyoondokana na umaskini kupitia TASAF, basi nipigwe radi!

Kama kuna kaya hata moja hapa nchini iliyoondokana na umaskini kupitia TASAF, basi nipigwe radi!

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Literally nashindwa kuona how a sane person anaweza kuamini kwamba kumpa mtu shs. 2,000= , 3,000/= nk. kwa mwezi inaweza kumuondolea umasikini huyo mpokeaji wa hizo monthly handouts, nisaidieni, how mtu huyu anaondokana na umasikini? HOW?
Lengo la TASAF ni nini hasa?
 
Nadhani kulikua na swala la uhujumu na utakatishaji fedha ktk mradi huo.
Yaani unampa mtu pesa ya kula na kesho njaa iko palepale, halafu mnasema 'pamoja tutokomeze umasikini', yaani ndio kauli mbiu hiyo, utokomeze umasikini kwa kumpa mtu samaki badala ya kumpa nyavu akavue mwenyewe? Hivi tuna akili timamu kweli kama taifa?
 
Kama kuna ulaghai uliotukuka na uliopitiliza ni huu upuuzi wa kuaminisha watu kuna kaya imeondoa umasikini kwa bakshishi ya TASAF? Mtumishi wa serikali anayesambaza fedha za maskini hawa analipwa 50,000 kwa siku, na anatumia siku 3 hadi 4 na kutengeneza 150000 - 200000/-, Maskini yeye anapokea 24,000 hadi 36,000/. Nani kapunguza umaskini kati yao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh sikujua kama pesa yenyewe ndio hiyo mkuu,hapo upigaji lazima

Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani kuna Kaya inalipwa laki hapo, ni 2,000/=, 3,000/=, na kiasi kinachofananianna hicho..., ni pesa ya mlo wa mchana tu, halafu mtuambie mnapigana kuwaondolea umasikini? Hizo gharama za kuwalipa hao watumishi wote wa TASAF kwa ujumla wao ndio utashangaa sasa kwamba huu mradi una lengo gani hasa?
 
Kama kuna ulaghai uliotukuka na uliopitiliza ni huu upuuzi wa kuaminisha watu kuna kaya imeondoa umasikini kwa bakshishi ya TASAF? Mtumishi wa serikali anayesambaza fedha za maskini hawa analipwa 50,000 kwa siku, na anatumia siku 3 hadi 4 na kutengeneza 150000 - 200000/-, Maskini yeye anapokea 24,000 hadi 36,000/. Nani kapunguza umaskini kati yao?

Sent using Jamii Forums mobile app

👍👍👍👍👍👍👍
 
Back
Top Bottom