FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #61
Ni uwendawazimu..Ajabu ni pale mtumishi wa tasaf anatumia laki moja kwenda kumgawia mtu 25,000/-
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni uwendawazimu..Ajabu ni pale mtumishi wa tasaf anatumia laki moja kwenda kumgawia mtu 25,000/-
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure mkuu umeongea point mimi kuna mama nimeshuhudia kwa macho yangu amejenga nyumba kwakutumia hii pesa ya Tasaf na pia miradi kibao nimeshuhudia imeanzishwa huko vijijini na watu wananufaika nayo kuna watu huko maisha yao wanayajua wenyewe tu na hii pesa imekuwa msaada mkubwa san tatizo humu ukiongea unaonekana ww ni ccm lakini in reality tujifunze kuappreciate hata kidg serikali inachokifanya and for real wew bro uliyeweka huu uzi usipojiangalia radi itakukung'uta kweli...Hawa walevi wa JF hata usipoteze muda nao, wanashinda hapo Mlimani City kupata MB za bure watusumbue humu jukwaani na Chit Chat zao. Wanajifanya kuidharau 35,000/= wakati wao wanaishi kwa Shemeji zao. Kwa maisha ya Umaskini wa kupindukia kupewa hiyo elf 35 kwake yeye ni kiasi kikubwa kwa mipango yake ma maisha yake. Atanunua jembe la mkono, shoka au baiskeli used na Historia yake ya maisha itaanzia hapo kubadilika. Tembeeeni Vijijini mjifunze Vijana, acheni upuuuzi wa Kuiga tabia za dadazenu ona sasa Mnabeba Mikoba mgongoni, Suruari za kubana, mnaramba midomo, kuongea kwa kubana pua, kupiga magoti mkivisha pete na sasa HATA UMBEA kama huu wa TASAF mmekuwa mahiri kweli kweli.
Kumbe tuko pamoja kwa kuipenda TBC1. Hivi yule mwanamke manjo kwenye ule wimbo, ameolewa? Kitu kimoja CCM wako juu ni kutokupenda wanawake wabaya. Kwa hilo hatuwawezj. Angalia wabunge wa kuteuliwa ni mmoja tu ndio mwenye sura mbaya.Wameimba wimbo aupendao mwanakondoo,ngoja niendelee kuangalia kishindo cha awamu hapa Chanel pendwa