Hawa walevi wa JF hata usipoteze muda nao, wanashinda hapo Mlimani City kupata MB za bure watusumbue humu jukwaani na Chit Chat zao. Wanajifanya kuidharau 35,000/= wakati wao wanaishi kwa Shemeji zao. Kwa maisha ya Umaskini wa kupindukia kupewa hiyo elf 35 kwake yeye ni kiasi kikubwa kwa mipango yake ma maisha yake. Atanunua jembe la mkono, shoka au baiskeli used na Historia yake ya maisha itaanzia hapo kubadilika. Tembeeeni Vijijini mjifunze Vijana, acheni upuuuzi wa Kuiga tabia za dadazenu ona sasa Mnabeba Mikoba mgongoni, Suruari za kubana, mnaramba midomo, kuongea kwa kubana pua, kupiga magoti mkivisha pete na sasa HATA UMBEA kama huu wa TASAF mmekuwa mahiri kweli kweli.