FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Yaani unampa mtu pesa ya kula na kesho njaa iko palepale, halafu mnasema 'pamoja tutokomeze umasikini', yaani ndio kauli mbiu hiyo, utokomeze umasikini kwa kumpa mtu samaki badala ya kumpa nyavu akavue mwenyewe? Hivi tuna akili timamu kweli kama taifa?Nadhani kulikua na swala la uhujumu na utakatishaji fedha ktk mradi huo.
Unadhani kuna Kaya inalipwa laki hapo, ni 2,000/=, 3,000/=, na kiasi kinachofananianna hicho..., ni pesa ya mlo wa mchana tu, halafu mtuambie mnapigana kuwaondolea umasikini? Hizo gharama za kuwalipa hao watumishi wote wa TASAF kwa ujumla wao ndio utashangaa sasa kwamba huu mradi una lengo gani hasa?Duuh sikujua kama pesa yenyewe ndio hiyo mkuu,hapo upigaji lazima
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kuna ulaghai uliotukuka na uliopitiliza ni huu upuuzi wa kuaminisha watu kuna kaya imeondoa umasikini kwa bakshishi ya TASAF? Mtumishi wa serikali anayesambaza fedha za maskini hawa analipwa 50,000 kwa siku, na anatumia siku 3 hadi 4 na kutengeneza 150000 - 200000/-, Maskini yeye anapokea 24,000 hadi 36,000/. Nani kapunguza umaskini kati yao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama kachukua za kaya hewa 73,000 x 3,000/= ni kiasi gani?Kumbe ni buku bee, ndo aliyopewa makonde kwenda dodoma?
Mkuu umesahai? Tuliambiwa hizo ml,50 kila kijiji zimetolewa kwa kupitia elimu bure.