Kama kuna kaya hata moja hapa nchini iliyoondokana na umaskini kupitia TASAF, basi nipigwe radi!

Fafanua zaidi hapo, ni 3000/- kwa 'kaya' au kila mtu ndani ya kaya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Individually wenye akili nchi hii tupo wengi tu (japo sio majority kwa sasa) ila collectively ni watu wapumbavu kupita kiwango.
 
Wafanyakazi wa Tasaf wana maghorofa/majumba ya kufa mtu.

Ilipitishwa Auditing hapa katikati wamesimamishwa wengi sana sababu ya kugawa pesa kwenye familia hewa.
 
MTOA MADA JIBU NI HILI.

PESA ZA TASAF ZENYE HATI FUNGANI ZILIKUA HAZIJAIVA,BAADA YA KUIVA SERIKALI IKACHUKUA ZILE PESA IKACHANGANYA NA JUHUDI ZIKALIWA-POLEPOLE.


"Mkuu tumepigwa mchana kweupeee hapo pesa imetafunwa kwa mgongo wa hiko kinchoitwa kuondoa umaskini lakini kumbuka hao watu wana jenga mahoteli nk pesa wanatoa wapi lazima watengeneze mazingira ya kuiba kwa kisingizio cha mradi,rejea SGR alikataa ya bei nafuu aliyeingia nayo mtangulizi wake kisha akasaini ghali ilu mambo yawe mukide"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kaya zimefanikiwa kuanzisha miradi ya ng'ombe wa maziwa,mbuzi wa maziwa,kuku wa kienyeji na nguruwe
Acheni kupotoshana
 
Kuna kaya zimefanikiwa kuanzisha miradi ya ng'ombe wa maziwa,mbuzi wa maziwa,kuku wa kienyeji na nguruwe
Acheni kupotoshana
Hawa walevi wa JF hata usipoteze muda nao, wanashinda hapo Mlimani City kupata MB za bure watusumbue humu jukwaani na Chit Chat zao. Wanajifanya kuidharau 35,000/= wakati wao wanaishi kwa Shemeji zao. Kwa maisha ya Umaskini wa kupindukia kupewa hiyo elf 35 kwake yeye ni kiasi kikubwa kwa mipango yake ma maisha yake. Atanunua jembe la mkono, shoka au baiskeli used na Historia yake ya maisha itaanzia hapo kubadilika. Tembeeeni Vijijini mjifunze Vijana, acheni upuuuzi wa Kuiga tabia za dadazenu ona sasa Mnabeba Mikoba mgongoni, Suruari za kubana, mnaramba midomo, kuongea kwa kubana pua, kupiga magoti mkivisha pete na sasa HATA UMBEA kama huu wa TASAF mmekuwa mahiri kweli kweli.
 
Kuna kaya zimefanikiwa kuanzisha miradi ya ng'ombe wa maziwa,mbuzi wa maziwa,kuku wa kienyeji na nguruwe
Acheni kupotoshana
Hawajafanikiwa bali tasaf kuna baadhi ya mikoa inatoa hao wanyama wa kufuga badala ya hizo elfu 2000-3000.

Tukubali tukatae fedha za TASAF zimetajirisha wasio walengwa na zimetumika kwa mambo yasiyokusudiwa kama tuliyosikia jana kuwa kuna watu waliotumia kupatia uongozi huko uvccm.

May be ni wakati sasa hizi fedha zikaacha tu kutolewa,maana walengwa asilimia kubwa hawajafaidika,hali zao ni duni vilevile.
 
Acha tuhuma za jumla,Tasaf kuna data za kiyakinifu
 
TASAF ..... usalama .... namna ya kufika kazi za chini kabisa waliko maskini kiofisi.... yaani OFFICIALLY masikini wanafikiwa kuchekiwa kwa maana ta usalama wa taifa bila wao wenyewe kuona wanafuatwa... mliosoma na walioko TASAF mnalijua au mnahisi hili
 
Mkuu tstizo sisi wenye vipato vikubwa tunadharau 5000-9000,lakini amini nawaambia kuna wenye vipato vya 200,000-500,000 kwa siku walianza na 24,000-36,000 kwa mwezi.
 
Kwa hiyo hata hao wakubwa wanapochomeka majina yao nao wanapokea hiyo 2,000/= na 3,000/=? Mbona aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…