Kama kuna kaya hata moja hapa nchini iliyoondokana na umaskini kupitia TASAF, basi nipigwe radi!

Kuna dalili za kukuelewa. Hebu fafanua zaidi.
 
Huku wakileta tunauza sana pombe
 
Makonda imemsaidia mbona
 

Mkuu

Usikae uamini hayo majinga mkuu!
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Jembe -Tshs 10,000/=
Shoka Tshs. 10,000/=
Basikeli used. Tshs 15,000/=
Hii baskeli sijui ina hali gani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
TASAF kiukweli haijawasaidia sana walengwa zaidi ya kuwatajirisha waajiriwa wake. wafanyakazi wa tasaf wanaiba sana hizi pesa
 
Tanzania nchi ya vituko,mradi huu ni mzuri sana na malengo yake ni safi,again maandalizi yake na utekelezaji wake ni sifuri,inaonekana ni mradi wa wanasiasa kuutumia kwa malengo yao,UPE ilipoanza nayo ilikuwa kama mradi huu,lengo lilikuwa ni zuri mno ila maandalizi yetu yalikuwa duni,kabla ya kujenga kwanza shule bora zenye vifaa bora vya kufundishia,kabla ya train waalimu bora kwanza ,our pithole politicians wakalazimisha watoto waende shule na matokeo yake ndio tunayaona humu,mtu aliyemaliza std 7 arudi afundishe watu wa level yake ili waende form 1!!,kama hii inafanana na social grants tulitakiwa kwanza tuweke mfumo wa utekelezaji,yaani walengwa watambulike ,wapewe special cards ili kwa wakati wao wakachukue grants zao kwenye mabenki,maduka makubwa,post office etc etc.inasikitisha mno hii nchi yetu inakokwenda please anayejua tunapelekwa wapi naomba anijuze.
 
Wafanyakazi wa Tasaf wana maghorofa/majumba ya kufa mtu.

Ilipitishwa Auditing hapa katikati wamesimamishwa wengi sana sababu ya kugawa pesa kwenye familia hewa.
Hili ndilo tatizo kubwa la sisi waafrika. Wizi. Ku-minimize wizi bora fedha zingetumika kufanyia vitu vya jumuia eg kununua dawa, vyakula mashuleni au uniform.
 
Hizo trillion moja na ushehe “zilizopotezwa” tasaf tungeweza kufanya nazo mapinduzi ya kijani nchi nzima. Tunabaki tunaimba kilimo kwanza...
 
Mkuu. Hua sipendi maoni yako lkn kwa hili nakuunga mkono kwa %100. Jana pale kwenye uzinduzi kuna watu walikua wamwkula breakfast ya 20,000. Peacock hotel nadhani breakfast bado ni 20 thou.
Watu hao hao wanaisifia tasaf eti imepunguza umaskini kwa kuzipa kaya 20 thou. Sio mtu. Kaya. Halafu kuna director wa takwimu anasema bila kupepesa kwamba uchumi unakua. Akija mtu kufanya utafiti wanamfungulia mashtaka. Yaani hawataki mtu mwinginr afanye utafiti wakati wao wanaongea upuuzi.
Ni Tanzania tu ambapo bei zikipanda na uchumi ndio unavyokua stable.
 
Wameimba wimbo aupendao mwanakondoo,ngoja niendelee kuangalia kishindo cha awamu hapa Chanel pendwa
 
Msambaza buku 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…