bwawani90
Senior Member
- Dec 20, 2025
- 147
- 284
Bunge linaendelea na hakuna anayejali kupanda kwa bei ya vyakula na bidhaa.
Salaam!
Hali ya uchumi inaelekea pabaya sana. Kama kuna mbunge anasoma huu ujumbe wangu afanyr jambo. Huku mtaani kila kitu kimepanda bei, cha ajabu kwa hawa user wa mwisho kabisa ie mwananchi kila kitu bei imepanda hawa bodaboda ndio kwanza kama wamewehuka
1. wamepandisha bei kwa 90% sehem 1000 wanachaji 2000
2. Nyanya bei juu
3. unga bei juu
4. Bei juu zile nauli gari za njano
Kuna muda najuta kuzaliwa nchi hii
wamiliki wa shule binafsi wanapandisha gharama za nauli