They dont care,only time itawagusa ni wakiona watakosa kura au kuwaharibia kisiasaBunge linaendelea na hakuna anayejali kupanda kwa bei ya vyakula na bidhaa.
Salaam!
Hali ya uchumi inaelekea pabaya sana. Kama kuna mbunge anasoma huu ujumbe wangu afanyr jambo. Huku mtaani kila kitu kimepanda bei, cha ajabu kwa hawa user wa mwisho kabisa ie mwananchi kila kitu bei imepanda hawa bodaboda ndio kwanza kama wamewehuka
1. wamepandisha bei kwa 90% sehem 1000 wanachaji 2000
2. Nyanya bei juu
3. unga bei juu
4. Bei juu
uko sahihiWorld is about to resert si bongo pekee ni dunia nzima jiandae kwa worse years to come angalia uliposimama kama utasurvive , mshahara utakuwa ule ule ila ukiupokea ni view once, jitajid uwe na shamba ata eka moja vitu vya bustan ulime mwenyewe,