Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Huko nyuma kabla ya Jiwe JPM, kulikuwa na tabia mbaya ya kitapeli eti unamrusha darasa mwanafunzi. Unakuta mwanafunzi kasoma mpaka darasa la pili alafu unamrusha mpaka darasa la tano au yuko darasa la nne unamrusha darasa la sita.
Nashukuru JPM kwa kutengeneza mfumo ambao ukisajiliwa na mfumo ukakutambua, hakuna jinsi unaweza kuruka darasa na mwisho wa siku ukawa na sifa ya kumaliza darasa la saba kwa sasa mfumo utahesabu miaka! Watanzania tunarudishwa nyuma na mifumo ya wajinga kumiliki mifumo ya nchi.
Mifumo yetu ieshimiwe kwa wanafunzi wote ili mwisho wa skku tuwe na nguvukazi inayojielewa na kusimamia haki kulivusha yaifa. Sasa kama mtoto hajaiva akakomaa kiakili anawezaje kuwa kiongozi?