Kama kuna mtu alikula hela za mabeberu na maadui zetu kumpindua Rais Samia na kuleta machafuko nchini ni lazima atazitapika tu

Popote pale Panapo zungumziwa amani nami nipo

Hakuna maandamano tena period

Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
 
Popote pale Panapo zungumziwa amani nami nipo

Hakuna maandamano tena period

Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
Kwa hakika tunapaswa kulinda Amani ya Nchi yetu kwa wivu Mkubwa sana na kwa gharama ya aina yoyote ile
 


Na waliokula ela za misaada ya miradi ya maji watafanya nini?

Hakuna maji wiki mzima now

Haya ndio mambo watanzania tunataka tupate hata maji,

Sio hizo story zako za kusadikika,

Do you think mzungu akitaka Tanzania isitawalike si jambo la dakika moja tu?

Watanzania tunataka MAJI
 
Kanawe uso unywe chai kwanza, search for facts kabla ya kuandika gazeti hamna piint hata moja
 
Hayo ya visima si ndio vinyesi vitupu kwa hapa Dar, hizo chemba za choo si ndio yanatobozana huko chini?
Maji ya kuchimba kwa mashine hutoboa miamba, seepage ya choo haifiki kwenye miamba
 
Kwa umakini gani walionao watumiaji?
Tandika 2000 mwanzoni ilikua trend,tena wakiyapima kwenye maabara za zahanati mitaani mule, cheap and simple, nilikua ubungo mid 2000s, palikua na visima havitumiki kisa viko contaminated na palikua na adha ya maji
 
Maji ya kuchimba kwa mashine hutoboa miamba, seepage ya choo haifiki kwenye miamba
Hebu ficha ujinga wako dogo. Nenda kwenye maabara za hospitali. Kemikali zao nyingi hazimwagi hovyo, ama haziingii kwenye chemba za vyoo vya kawaida, maana zikiingia aridhini zinaweza kufikia vyanzo vya maji ikiwemo hivyo visima na kuleta madhara ya kiafya hasa saratani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…