Kama kuna mtu alikula hela za mabeberu na maadui zetu kumpindua Rais Samia na kuleta machafuko nchini ni lazima atazitapika tu

Visima shallow au mikondo ya maji kama bonde la jangwani
Seepage ya choo ni 30m radius,ukichimba kisima kwa mkono ndani 30m toka kwenye choo utakunywa mavi na mikojo,lakini ukichimba kwa mashine ndani ya hizo mita hilo halipo, mashine inaenda toboa mwamba na maji hupita kwenye pipe
 
Unaliwa wewe
 
Punguza ujinga muulize Mwigullu Nchemba yule aliyepewa bilioni tano na kuzigawa kwa waandamanaji lini atafikishwa mahakamani?
Mkiwa waongo muwe na kumbukumbu.
 
Na aliyekula za Waarabu ni nani?
 

Uraisi mmeshinda kwa asilimia ngapi mkuu???
 


Mimi napenda CCM.
 
Kama Kuna serikali ya hovyo duniani baasi ni hii haramu ya ccm.
Polisi na TISS Ccm Hawa wenye uwezo wa kukamata wanajeshi fake wa USA huko Tarime na kubaini taarifa za kiintelijensia hasa za maandamano walishindwaje kujua kwamba wasimamizi wa uchaguzi ule walifungiwa ndani kumpigia Samia kura baada ya watu kutojitokeza?
Pesa zinaingizwa na mabeberu kuwalipa wandamanaji bila police na TISS kujua? Basi hapo hamna serikali .
Kwani si Kuna utaratibu wa kupokea pesa kutoka nje hapo Bot? Ziliingiaje?
Unafuatilia watu risasi na kujitangaza mshindi fake Kisha unawasingizia watu.
Mjinga wewe
 
Tanzania ni Lulu na kila beberu anaitamani

Ina janga gani inasolve sasa hivi maana kawaida majanga yanapishana kuanzia, njaa hadi mafuriko in between! Beberu atamani uvundo hadi ikulu? Labda beberu wa kyela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…