Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
wote mnaosoma udom mmeumia
Utakufa masikini na Degree yako ya Education tena ya Mkwawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wote mnaosoma udom mmeumia
form six bhana,haraka ya nn?
haieleweki utaajiliwa wapi? course content ni zile zile za advance mfano utakutana na mechanics, magnetism,heat,wave then hakuna cha field walimu wachache practicals mpaka vifaa vitoke udsm na mta jikuta practical 20 mnafanya kwa wiki moja ili vifaa virudi, nina wambia kwakuwa mimi sikupata nafasi ya kupata ushauri kwasasa nimeona bora nisome diploma pale D.I.T[/QUO
anaweza akawa mwalimu wa physics wa shule za secondary!