Kama kuna mtu amechaguliwa bsc.physics udom ujue umeumia

Kama kuna mtu amechaguliwa bsc.physics udom ujue umeumia

hiyo ni kozi nzuri sana,ila kwa UDOM ni chuo cha kata kwa hiyo usilalamike sana kuhusu vifaa kwa hiyo subiri Lowassa arudi madarakani ili akimalizie
 
haieleweki utaajiliwa wapi? course content ni zile zile za advance mfano utakutana na mechanics, magnetism,heat,wave then hakuna cha field walimu wachache practicals mpaka vifaa vitoke udsm na mta jikuta practical 20 mnafanya kwa wiki moja ili vifaa virudi, nina wambia kwakuwa mimi sikupata nafasi ya kupata ushauri kwasasa nimeona bora nisome diploma pale D.I.T[/QUO

anaweza akawa mwalimu wa physics wa shule za secondary!
 
Back
Top Bottom