Kama kuna mtu anadhani hali ya hewa tunayoiona inaletwa na kukata misitu etc uzi huu umuamshe

Kwahiyo kutokebehi ni kukubaliana na wewe?.Jibu hoja za watu.
Hoja za watu zipi,mbona hakuna,kebehi ndio hoja.Dialogue na mazuzu ya Ibilisi ni kupoteza muda,I am sorry I don't have time for that,someni mabandiko mengine.
 
Mimi ninachokiona ni hiki mkuu,humanity has crossed the "Event Horizon of Cognitive Destruction!'​

Hebu sikiliza hii clip utanielewa.To me destruction imeanza siku nyingi sana,it is only now being finalized by the so called C-19 disease vaccine.

Watch this⏬

NWO lazima itokee sababu mwanadamu alisha pewa tahadhari na maandiko ya dini zote .Biblia na Quran zote zimeeleza kuhusu kuja kwa mpinga Kristo.
In short.
MUNGU hawezi kujipinga mwenyewe alishaandika na lazima itokee otherwise Manabii na mitume wake wataokena ni waongo kwa kutabiri vitu visivyotokea na vitabu vya Dini vitaonekana kama Story za Abunuas.

Kwa hiyo binadamu tujuwe ama tusijuwe lazima NWO itakuja sababu MUNGU alisha ruhusu itokee.HATA TUFANYE MAOMBI kiasi gani lazima itakuja tu.

*Hata YESU aliomba KIKOMBE HIKI kimuepuke lakini hakusikilizwa na akatumiwa Roho kumfariji tu. Sababu ilishatabiriwa Kuwa Masihi atakuja anasurubiwa na siku ya 3 atafufuka.

USA kwa sasa anahangaika kuhamia Mars sababu anajua yajayo yanafurahisha
 
1. Wewe mwenyewe nyuzi zako ZOTE ni consiparicies
2. Evolution ni scientific THEORY, kusema tu evolution ni science bila kuweka neno theory ni ufala wa strawman.
3.Watu wanaoikubali evolution wameelezea kila mahali kwamba binadamu wa leo hajatoka kwa sokwe au apes wengine wowote wanaoisho leo na hata kama angekuwa ametokana nao kwa nini leo usingeweza kuoana wakibadilika kuwa binadamu.

Unapenda kuwa mwanasayansi, unajifanya unaijua sayansi lakini kwa bahati mbaya sana huna uwezo wa kuelewa hata sayansi ya msingi tu na mwisho wake umeishia kuwa mwanasesere wa nadharia njama.
 
Dunia haijiendei tu na hakuna binadamu master-mind wanaoiendesha dunia zaidi ya wanasiasa, wavumbuzi, wanasayanzi, wafanyabiashara, matukio ya asili, milipuko ya magonjwa, njaa, vita, masoko n.k
 
Hakuna ukilaza zaidi ya huu wa kujenga hoja kwa kusema Biblia na Quran zote zimeeleza jambo fulani. Kwanza fahamu zaidi ya watu biliion tatu au nusu ya dunia sio waumini dini hizo mbili, pili fahamu kwamba ni nadra kwa vitabu vyote viwili kwa pamoja kuwa sahihi katika jambo lolote lenye umuhimu kwa dini hizo.
 
Nonsense
 
Hata kama watu 2 wataamini dunia nzima hilo halizuii maandiko kutimia.

In future idadi ya watu wanaoamini watazidi kupungua zaidi .

Lakin haitabadilisha maana ya maandiko kutimia .
 
Hata kama watu 2 wataamini dunia nzima hilo halizuii maandiko kutimia.

In future idadi ya watu wanaoamini watazidi kupungua zaidi .

Lakin haitabadilisha maana ya maandiko kutimia .
Ni kweli watu wanatoka kwenye kuamini wanaenda kwenye kujua.
 
Mtoa mada anatuambia hawa NWO ndio mastermind wa hii dunia, hawa wengine wanatumika tu.
Dunia haijiendei tu na hakuna binadamu master-mind wanaoiendesha dunia zaidi ya wanasiasa, wavumbuzi, wanasayanzi, wafanyabiashara, matukio ya asili, milipuko ya magonjwa, njaa, vita, masoko n.k
 
Nahisi wew ndyo umepuuza mkuu you are not jamii forum spokesman
 
Sasa Kama wana ajenda moja why dhen they are in serious conflicts/war economically, politically e.g the issue of Taiwan & technologically e.g space exploration issues, nuclear weapons issues etc au unataka kuniambia all these are staged propaganda???Kama Ni hivyo basi nna safari ndefu Sana yakujifunza na kuyatambua haya mambo.
 
Vatican hawana power yoyote in the world stage economically or technologically how come they have those muscles to be the nwo boss
 
Mkuu usifadhaishwe na those devils No way they exist they existed and they will exist Dunia siyo mahala salama Sana we are in the fight
 
Umeelewa nilichoandika??
Hata kama watu 2 wataamini dunia nzima hilo halizuii maandiko kutimia.

In future idadi ya watu wanaoamini watazidi kupungua zaidi .

Lakin haitabadilisha maana ya maandiko kutimia .
 
Mtoa mada ni mtu mwenye matatizo ya akili, hawezi kufikiria vyema.
Mtoa mada anatuambia hawa NWO ndio mastermind wa hii dunia, hawa wengine wanatumika tu.
 
Dunia sio mahali salama ? Hamia Mars au Jupiter.
Wewe fight kuondoka kwenye umaskini uache kushindia mihogo na chachandu kila siku.
Mkuu usifadhaishwe na those devils No way they exist they existed and they will exist Dunia siyo mahala salama Sana we are in the fight
 
Hakuna Mars hakuna lolote mkuu,wanajiandaa kumleta their fake Messiah ili watu wamuamini instead of the true Messiah ndio maana safari za outerspace zimeongezeka sana.Wangekuwa wanapanga kuishi Mars wasingejenga na underground cities in the USA.Kuishi Mars ni very complicated mkuu na hata kama ingewezekana,ni very unpleasant. Kumbuka hamna maji na hewa,so it is very difficult to do anything to sustain life there.Sisemi ni impossible, it is possible kwa technologies walizo nazo,ila it is much much easier to do it underground na wameshafanya hivyo in the US.

Lastily we know the NWO is coming,na tunajua kama ni wakati wa Mungu there is nothing we can do about it,but how about if it is not Gods' time.So you see we have to do something just in case it is not Gods' time.
 
Vatican hawana power yoyote in the world stage economically or technologically how come they have those muscles to be the nwo boss
Vatican wanahusika kabisa mkuu,na infact ndio bosses wa the NWO.Naomba ujielimishe kwa kusikiliza clip hii.Hata hivyo ili uweze kuielewa,ondoa matakataka yote ambayo umeshawahi kusikia huko nyuma,nikiwa na maana kwamba usikilize clip hii with an open mind.

Wala sio safari ndefu.Nia ni ku-confuse humanity ili isijue kwamba there is something sinister going on.Angalia ⬇ hata Pope Francis anavyo zungumzia New World Order,ni kama hana mamlaka vile.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…