Kama kuna mtu anadhani hali ya hewa tunayoiona inaletwa na kukata misitu etc uzi huu umuamshe

Mkuu,
Nakupa GPA ya 4 ili ubaki chuo ufundishe kama Tutor.
 
Out of topic: Mimi kitu kinachoitwa depopulation ninakiunga mkono. Tupo wengi sana duniani hasa huku Afrika kwenye watu wasio na faida.
Tena nikipata pesa zao pro-depopulation nitasapoti na kusukuma agenda.
 
Out of topic: Mimi kitu kinachoitwa depopulation ninakiunga mkono. Tupo wengi sana duniani hasa huku Afrika kwenye watu wasio na faida.
Tena nikipata pesa zao pro-depopulation nitasapoti na kusukuma agenda.
Umedanganywa,the World is not overpopulated,na hata hivyoo, Mungu aliiumba Dunia iwe self sustaining until his chosen time.Mawazo ya overpopulation yanatoka kwa Shetani.
Anyway,unaonaje tukianza na wewe?
 
Out of topic: Mimi kitu kinachoitwa depopulation ninakiunga mkono. Tupo wengi sana duniani hasa huku Afrika kwenye watu wasio na faida.
Tena nikipata pesa zao pro-depopulation nitasapoti na kusukuma agenda.
Jeez!
Mkuu ebu fafanua kwa kutupatia madini ya ufahamu siyo makenikia.
 
Approximately 312,000 active general aviation aircraft worldwide. ? General aviation (GA) is defined as all aviation other than scheduled commercial airlines and military aviation. Over 312,000 general aviation aircraft including helicopters, single-engine piston-powered airplanes, multi-engine turboprops.
Source: answers.google.com/answers/threadview/id/584144.html
 
Sema siku nyingine ukiwa unajibu wakubwa kuwa na adabu wewe mi sio mtoto mwenzio sawa.Kwani we mpambanaji unakipi ambacho unaweza nieleza nkaona kipya? Just kukumbusha tu nilipo huwezi kufika hilo tu.Pia kama unahisi kupambana ni kubeba zenge niseme tu Mwenyezi Mungu kanijalia akili kwahiyo akili yangu ndio shibe yangu.

Mwisho kabisa kuwa na adabu,kutumia fake Id kisiwe kigezo cha kukosa heshima.
 
Acha kulia liaa. Chapa kazi.
 
Mleta mada haya yooote uliyoandika twayajua pia tunaamini hayana Budi kutokea tangu zama!! ili ifikie ukamilifu wa DAALI!! suala ni je?? tufanyeje??
Tuwapinge?
tuwatenge kisiasa, kiuchumi? ili tufe kwa Imani? au
tuwafuate tuwe nao kitu kimoja! au tujifie tu!
maana yake ni kwamba weye mleta mada huja toa conclusions, umeelezea tu mambo yatakavokuwa tena tunayo ya jua! kitambo sana! ilivyo, na itakavyo kuwa!! so what?"
Mkuu wa Ulimwengu yuko kazini masaa 24!

Wakati Misri ya kale, Ugiriki, Uyunani wametawala Dunia miaka 400!! British ilitawala toka Cairo mpaka free town, hizi zili tawala Dunia!! ilikuwa ni sawa tu bin shwari kwa nini leo!.... USA, USSR,CHINA, kutawala Dunia inakuwa ni noma?...

Mnawasema weee!! mpaka! wanatetemeka?? Nebkadnezzar alisha yaona hayo kitambo sana!! akatuhadhalisha tu kwamba yapo sasa je? tutayaishi vepe?

Ukiangalia vizuri Kutawala huku ni mfumo wa Duara kuizunguka Dunia, ni zamu kwa zamu kwa kila Bara Duniani! Asia bado! haijawahi tawala Dunia lazima nayo ipate fursa ya kufanya ivo !! kwanza kabisa jua kuwa

ilianzia katikati ya Dunia kuelekea Machweo!! ni kawaida tulilikubali hili jambo kitambo sana! jua kuwa ndo ilivo! na litarudi tena palepale lilipoanzia ni sawa shida iko wapi???
 
DAALI ni nini ndugu?
Hivi unaamini perfectionism ni ugonjwa??? au fanya hivi .......common(typin') errors!! kaisome hii uielewe halafu urudi hapa tena!! uulize, sawa dogo!!..... unaelewa? km unashindwa kujiongeza kwa jambo dooogo hili una asili flani ivi ambayo siisemi kwa sasa!!

make kwa akili zako hizi hizi!!! utaniona nimekosa adabu!!
 
Comrades,

Can you open a new tolerant chapter that may lead us back to the good flavor of your contributions that we used to get and cherished together as common JF family?
"When angry count to ten before you speak. If very angry, count to one hundred." - Thomas Jefferson 1800.

You will be relieved of anger.
 
Huwezi kujibu jibu!! tumia akili kidogo tu!!! Mie niko jf! kwa mujibu wa haki yangu ya msingi! km huwezi usiingie JF!
 
Mkuu,
You may be right, only that sometimes studies critique each other:

The disadvantage to becoming angry is that the fiery emotion and adrenaline in one's system often excludes rational thought. Such a situation is usually dangerous, of course. You may wish to research studies of the brain that explore the areas touched when people become angry, the neurological changes that take place, etc.

I appeal to both of you to accept closing the chapter. We are never the same (there must be negative and positive forces but with standard objective) to complement each other.

More so, it is usually cost less to say sorry in the tone that has a fund of goodwill!

Acheni yapite.
 
Tatizo ni hao hao wazee wa Dunia kujaribu mabomu kila siku hewani na baharini. Halafu wasingizie magari mara sijui viwanda ni bla bla tu. Hao wahuni wanachafua Dunia ila uzuri linaongezeka joto zaidi maana kwao hilo ni shida ila sisi tunafuta jasho tu. Ndo maana wa nahangaika kutafuta sayari nyingine ya kuishi maana hapa after 50 years hawataweza hata kutoka nje. Ingawa nasikia wanataka kublock jua hawa wahuni na jinsi walivyo mash3tani wataweza tu.
 
Hao marekani sio Watu sio binadamu?

Binadamu anamchango mkubwa tuu katika uharibu wa Mazingira Hali inayopelekea matokeo Hasi ikiwa ni pamoja na ongezeko la joto Duniani

Kama ndivyo?
Ni kwa nini mwaka jana joto lilikuwa chini kulinganisha na 2015?

Una maanisha mazingira yaliharibiwa 2015. Yakaachwa yakaja kuharibiwa 2021?
 
Wenyewe wafanye tu tutawaachia dunia yako tukufe🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️
 
Wewe umekiri mwenyewe kwamba umjinga,sasa who can help you,kaa na ujinga wako bwana usitusumbue.
 
Ukiwa mlokole tuu lazima kila kitu utakihusisha na NWO
 
Ukiwa mlokole tuu lazima kila kitu utakihusisha na NWO
Sikiliza brother,ni swala la kutumia akili tu.Ni ujinga kumkimbia Bwana Yesu ambaye hatimaye nitam-face head on and this applies to you also.It is either Him or the Devil at eternity.So what do you choose,eternal condemnation with the Devil or eternal life with Jesus Christ.The choice is yours.But I advice you to choose Jesus Christ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…