Kama kuna mtu anadhani hali ya hewa tunayoiona inaletwa na kukata misitu etc uzi huu umuamshe

Kama kuna mtu anadhani hali ya hewa tunayoiona inaletwa na kukata misitu etc uzi huu umuamshe

Unatumia Jamii Inteligence kufikisha upumbavu?

Goodridance

Haiwezekani mwanadamu mwenye consciousness akakubaliana na sentensi ya kipumbavu namna hiyo eti Wamarekani wanaharibu climate ya dunia makusudi ili kutawala dunia ambayo wao nao wamo humo humo na hakuna dunia ingine ya kwenda

Thats conspiracy theory,no proof and does not make any sense

Kuna climate deniers USA wengi sana na chama cha R hakijali climate ila chama cha D kinajali climate,this great divide ina balance out

Kungekua na another earth hapo labda wangechoma kwa minajili hiyo....au kama climate ingekua inajali mipaka ya nchi wangefanya,ila climate ni global haijali mipaka,kuchoma ni kujichoma mwenyewe!
You are so uninformed.Kaa na upumbavu wako.
 
Wewe inaelekea ni mtu wa common sense, I am above that.
 
Hao walioandika hiyo paper na waliowatuma kufanya hiyo kazi ni evil people.Na nakushangaa,mbona na we we wanakuathiri.Why don't we join hands in exposing them,in the hope that wanadamu wengi watajua uovu wao and eventually turn against them.Mimi nashangaa sana watu kama ninyi frankly.
Trust me,I'll be the first person to join you to expose or fight whatever evil, but you need something tangible to convince me.

Prove to me that Americans do plan to end this planet without telling me that paper you read. I mean, I need something beyond that paper.

Thank you!
 
Ukweli gani unataka?

Nachojua mwanadamu hawezi kata tawi alilokalia yeye mwenyewe

Thats a FACT!

Mengine unayoongeza ni mengine hayanihusu
🔜Nachojua mwanadamu hawezi kata tawi alilokalia yeye mwenyewe🔚This is what I call common sense.Ungekuwa mjanja ungeniuliza sasa wakiharibu hapa wao watakaa wapi,ningekukueleza,sasa kwa vile unajifanya mjanja,kaa na ujinga wako.
 
Trust me,I'll be the first person to join you to expose or fight whatever evil is done, but you need something tangible to convince me.

Prove to me that Americans do plan to end this planet without telling me that paper you read. I mean, I need something beyond that paper.

Thank you!
There is so much more,hiki ni cha mtoto.
 
Wewe inaelekea unavuta bangi na unachanganya
na kinyesi,ulijuaje kwamba bangi inachanganywa
na kinyesi?And then sijui nani kavuta bangi hapa,wewe ambaye umekurupuka bila kusoma mada vizuri au mimi.Most likely hata habari yenyewe hujaisoma kwa kuwa hujui Kingereza kwa hiyo hujui source na nani kaandika.WaTz bwana,tuwajinga sana, halafu hata kuelimishwa hatutaki.Hovyo sana.
Nimeki download hicho ki document nitakisoma kwenye ipad yangu ila binadamu tumekwisha, we are heading to the dark ages again, a total control and the end of human freedom, Illuminati are taking the world, ukiwaambia watu wankuona kama una dream mchana watakuja kugundua it is too late!!
 
Prove it to you?Wewe ni nani.People with independent minds wananielewa,we we sio target,ignore.
Jesus Chirst! did I say something like prove to me? How about this,you didn't design this platform and so get informed that whatever madness is posted in this forum is my business.
 
Vatican ndio kiongozi hasa,muwezeshaji mkuu akiwa US,ikifuatiwa na Britain,Germany,Urusi na China.Wengine wanaburuzwa tu.Usipokuwa mdadisi unaweza kudhani kwamba Urusi na China hawahusiki,lakini hizi ni harakati tu za kuihadaa Dunia na Wanadamu.
Umeshakula makande unaandika chochote kinachokujia!

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Kunywa maji mengi, kula vizuri fanya mazoez pumzisha mwili wako
 
Nimeki download hicho ki document nitakisoma kwenye ipad yangu ila binadamu tumekwisha, we are heading to the dark ages again, a total control and the end of human freedom, Illuminati are taking the world, ukiwaambia watu wankuona kama una dream mchana watakuja kugundua it is too late!!
Kwangu Mimi mkuu it is already too late.NWO
wameshaichukua,Uingereza,Germany,Canada,Australia,France na Israel,sijui nchi zingine,ila najua Urusi,China,Japan na nchi zingine nyingi ni wadau wao.Sasa watu wanakuwa wabiishi,the game is over.
 
watakaa wapi wewe maiti maana dunia ni hii hii hakuna ingine na hiyo climate haiangalii geographical boundaries?

Huna lolote la kunielimisha hapo unanipotezea muda ndio maana hata sitaki uniambie watakaa wapi maana ni nonsense tu utaongea na kunipotezea muda

Chunia,kaa nayo ikusaidie wewe,sina muda mchafu wa kusikiliza uchafu
Sawa.
 
Andiko nikishaonaga NWO natupa shimo la taka! Utindio wa kufikiri na kutupilia mbali kushirikisha akili kutatua challenges!
 
Nenda kwenye udaku,huku kwenye Jamii Intelligence sio level yake.Humu tunachimba mambo yaliyoko nyuma ya pazia.Kama umezoea taarifa za mainstream media,Bungeni wamesema hivi na hivi pole.We are above that.
Mnaongea mazingaombwe,vitu ambavyo havipo.kati ya majukwaa ya ajabu ajabu hili linaongoza[emoji3][emoji3]
 
Mnaongea mazingaombwe,vitu ambavyo havipo.kati ya majukwaa ya ajabu ajabu hili linaongoza[emoji3][emoji3]
Hivi ni vitu ambavyo vipo nyuma ya pazia mkuu,si rahisi kuvielewa.Unajua,tumelishwa pumba for too long,ndio maana inakuwa vigumu kuelewa.
 
Watu wa humu ndio dizaini fulani wakiwa barabarani wanakuwa wanaongea peke yao.
Wanajaza ubongo vitu ambavyo havipo.
Brother yaani umejiaminisha kwamba kila usichokijua hakipo!That is very wrong.You know very little.
 
Andiko nikishaonaga NWO natupa shimo la taka! Utindio wa kufikiri na kutupilia mbali kushirikisha akili kutatua challenges!
Hao ndio wanaokutawala na kuitawala dunia brother.You are mind controlled and a slave ndio maana ni vigumu ku-appreciate concept ya NWO.Sasa kama wahusika wakuu akina Klaus Schwab,Rockefeller, Rothschild, George Soros,Bill Gates nk.wanakiri kwamba hiyo kitu inakuja,who are you to deny it,si utakuwa mjinga.
 
Back
Top Bottom