Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,386
- 6,473
pamoja na maelezo yote hayo, bado kuna wapumbavu watakupinga bila sababu za msingi.
kila siku huwa tunasema humu hii dunia si sehemu salama kabisa, maana kuna baazi ya watu wanafanya kila njia waweze kuicontrol dunia ktk kila nyanja za uchumi, siasa, na kijamii.
na hawa watu wako ktk makundi mengi ya siri na yasiyo ya siri, na mipango yao hufanya kimikakati zaid na ubobevu mkubwa il kuleta matokeo chanya.
na yeyote yule anayekwamisha jitihada zao, humfanya kuwa adui wa dunia, kwa kumfanya aonekane mpinzan na mtu wa ajabu anaefanya mambo ya tofaut na wafanyavyo watu wengine dunian(mfano ni nchi ya North korea) hapa nazan mnaelewa, pia kuna mifano mingi sana ambayo hakuna haja kuongea.
viongoz wetu wa serkal wanajua haya ndiomaana wanafanya kila wawezalo kujiungamanisha na harakati za hao mabwana wa dunia, ili nchi zetu masikini zibaki salama kwa kuofia kutengwa na dunia, ama kushughurikiwa.
kwa bahat mbaya hakuna mtetezi pale unapojitahidi kupinga hizo harakat za hao mabwana, maana wamejichimbia miziz ktk kila kitu, kuanzia dini, uchumi, elimu na mengineyo,
unapojarbu kuhoji ama kuwachallenge bas ujue litakalo kukuta si zuri yaan mpaka wananchi wako unaowapigania watakusariti kwa kuamin kuwa haupo sahih, kumbe unawapigania wao, na hil mmeona hata ktk nchi yetu jinsi kundi la vilaza fulan walpompinga yule bwana aliesisitiza tujifukize na tukatae madawa yasiyo na uwakika wa tiba, alionekana mjinga kumbe ukwel uko wazi,
mambo haya si yakidini, lkn inashangaza wapuuzi wachache wanapoyahusianisha na dini zao, yaan ukiongelea suala la NWO kuna mitumwa ya akili inakuja kukutusi kuwa wew msabato mala nani sjui unaongelea conspiracy theories, kumbe ndyo ukwel wenyw.
jamii ya watu weusi inahitaj ukomboz mkubwa wa kifikra ili ikubali kujuwa jinsi gani ulimwengu unavyokwenda.
WE ARE NOT SAFE