Kama kuna mtu anadhani hali ya hewa tunayoiona inaletwa na kukata misitu etc uzi huu umuamshe

Kama kuna mtu anadhani hali ya hewa tunayoiona inaletwa na kukata misitu etc uzi huu umuamshe

jiheshimu basi, si kila aneongerea habar hizi ni msabato, yapo mambo ambayo yanafanyika dunian nje ya utaratibu wa asili, na yanapokemewa na watu, haimaanish wanaoyakemea ni wafuasi wa kundi fulan la imani, mbona iko wazi hata hao wasabato wana madhaifu yao ambayo wanatakiwa kuunganishwa na sehemu ya uharibifu wa asili ya imani ya kwanza ya mtu.

jitahidi kuondoa chuki zakipumbavu
Huna moral authority ya kukemea chochote kilichozidi uwezo wako wa kufikiria.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mlala hoi gani ana muda wa kupoteza kupinga hadithi za abunuwasi. Watanzania wanataka maji, chakula na umeme wa uhakika sio huu utopolo wako na huyu mleta uzi anayeuza utumbo wa kuku Buza kwa mpalange huku akipandisha consiparicies zake anazo Google kwa Tecno ya Mchina.
hakuna tatizo, lkn tatzo ni pale unapojarbu kupinga harakat ambazo wengi wa walioziandaa wamechoma muda wao na rasilimali zao kufikia hapo alafu wew uwapinge..chamoto utakipata
 
Ni Mungu kapata makasiliko tu kakwambia malaika wa zamu kitengo cha jua aongeze kidogo makali ya jua ili tumrudie mungu
 
Mwenye maarifa ndio ana amua aina ya order.
Hujui usemal😵rder hiyo itakuwa brutal kiasi ambacho mwanadamu hajawahi kushuhudia. Uonayo sasa Marekani, Canada, Australia, Uingereza in cha mtoto.
 
Climate change deniers nyie

haingii akili eti wamarekani waharibu climate ya dunia makusudi ili eti watawale dunia wakati na wao wanaishi hapa hapa duniani ambapo climate hiyo hiyo mbaya itawala kama umeme pia?

Yaani wakate tawi walilokalia pia kwa makusudi?
Climate change denier?Soma mada usilishwe maneno. Walioadika hiyo paper ni American Airforce Oficers and Scientists,sasa nina deny climate change vipi.Climate Chañge,ipo,laki who is responsible?Wao wameandika paper yao,na wamesema wazi they want to own the weather by 2025.Sasa unabisha ni,kwamba waliyoandika ni uongo.Who are you to deny such obvious truth!?Infact taarifa hii ni kidogo sana,there is so much more.
 
Hujui hata yanayoendelea Australia,Marekani,Canada and what is in store for you,pole you are so blind.Ni heri ungeulizwa kwa upole ukaelimishwa.
Acha kuishi kwa hofu,ishi kwa maarifa.Yanayoendelea Australia,Canada na Marekani ni kwa maslahi ya ubinadamu.
 
Kwamba Marekani anafanya uharibifu katika mazingira kwa kigezo kwamba awe mtawala? Kwahiyo yeye atakuwa anatawala hii dunia akitokea sehemu ipi? Jupiter,Pluto au wapi?

Nakupa mfano wa makampuni ya Kimarekani ambayo yanawashiwa taa nyekundu sio tu na wanamazingira duniani bali pia Wamarekani wenyewe wanawakataa linapokuja suala la mabadiliko ya tabia ya nchi.Kampuni linaitwa Exxon Mobil, kaangalie mimliki wake then uje useme kwamba Marekani wana ajenda ya kuharibu mazingira ili watawale.Kingine kwani we unataka Marekani atawale mara ngapi hapa duniani kwa maana unapoamka na jua kuzama kila kitu ni cha wamarekani.Kakupatia chandarua bure, anakupatia pesa kwenye miradi yako yote sasa utawala mwingine ukoje huo.

Mwisho kabisa umesema sijui covid,floods,and blah! blah kwamba ni kazi za wamarekani.Hivi unajua janga la moto linavyowatesa hawa jamaa, unajua covid ambavyo imewafanya kitu kibaya.Kwamba Marekani anatengeza vitu vya kumuangamiza yeye sio?
 
Back
Top Bottom