5th Estate
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 311
- 273
Kivipi?Dah,uko gizani kabisa brother.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi?Dah,uko gizani kabisa brother.
Unahitaji elimu mkuu,tena sana.Hilo ni somo kamili,next time.Ila ungesoma hiyo paper with an open mind ungepata pa kuanzia.Kwamba Marekani anafanya uharibifu katika mazingira kwa kigezo kwamba awe mtawala? Kwahiyo yeye atakuwa anatawala hii dunia akitokea sehemu ipi? Jupiter,Pluto au wapi?
Nakupa mfano wa makampuni ya Kimarekani ambayo yanawashiwa taa nyekundu sio tu na wanamazingira duniani bali pia Wamarekani wenyewe wanawakataa linapokuja suala la mabadiliko ya tabia ya nchi.Kampuni linaitwa Exxon Mobil, kaangalie mimliki wake then uje useme kwamba Marekani wana ajenda ya kuharibu mazingira ili watawale.Kingine kwani we unataka Marekani atawale mara ngapi hapa duniani kwa maana unapoamka na jua kuzama kila kitu ni cha wamarekani.Kakupatia chandarua bure, anakupatia pesa kwenye miradi yako yote sasa utawala mwingine ukoje huo.
Mwisho kabisa umesema sijui covid,floods,and blah! blah kwamba ni kazi za wamarekani.Hivi unajua janga la moto linavyowatesa hawa jamaa, unajua covid ambavyo imewafanya kitu kibaya.Kwamba Marekani anatengeza vitu vya kumuangamiza yeye sio?
Aisee,kweli watu ufahamu ni mdogo sana.Naomba usome paper,usiishie utangulizi tu,hutapata picha kamili.Hiyo paper wameandika wataalam wa the American Air force sio mimi!Sasa unabishana nao,wewe nani?Kwahiyo dunia ikiwa na serikali moja maana yake hakuna umasikini tena maana Marekani ndo atakuwa mtawala wa dunia.
Halafu mkuu mataifa makubwa yote yameamua kudanganywa na Marekani juu ya mabadiliko ya tabia nchi kwamba yanaletwa na shughuli za kibinadamu na yenyewe kwa teknolojia yao ilivyo walishindwa kubaini chanzo ni jeshi la Marekani hadi wewe ndo ukabaini?
Jamaa anatuambia Wamarekani wanaharibu dunia ili waitawale....cha ajabu hata wao wanaishi humu humu.Kwamba Marekani anafanya uharibifu katika mazingira kwa kigezo kwamba awe mtawala? Kwahiyo yeye atakuwa anatawala hii dunia akitokea sehemu ipi? Jupiter,Pluto au wapi?
Nakupa mfano wa makampuni ya Kimarekani ambayo yanawashiwa taa nyekundu sio tu na wanamazingira duniani bali pia Wamarekani wenyewe wanawakataa linapokuja suala la mabadiliko ya tabia ya nchi.Kampuni linaitwa Exxon Mobil, kaangalie mimliki wake then uje useme kwamba Marekani wana ajenda ya kuharibu mazingira ili watawale.Kingine kwani we unataka Marekani atawale mara ngapi hapa duniani kwa maana unapoamka na jua kuzama kila kitu ni cha wamarekani.Kakupatia chandarua bure, anakupatia pesa kwenye miradi yako yote sasa utawala mwingine ukoje huo.
Mwisho kabisa umesema sijui covid,floods,and blah! blah kwamba ni kazi za wamarekani.Hivi unajua janga la moto linavyowatesa hawa jamaa, unajua covid ambavyo imewafanya kitu kibaya.Kwamba Marekani anatengeza vitu vya kumuangamiza yeye sio?
Jamaa anatuambia Wamarekani wanaharibu dunia ili waitawale....cha ajabu hata wao wanaishi humu humu.
Sasa wakishaharibu hii dunia watatawala nini tena?...huyu jamaa hizi 'conspirancy theories' zinamkoroga akili.
So you believe kwa kuwa wanakaa humu humu hawawezi kuiharibu dunia,mawazo ya kipumbavu kabisa haya.So unadhani hao scientists wa the American Air Force walioandika hiyo paper walikuwa na maana gani?Sikiliza we we,taarifa hii sio isolated,ziko nyingi zinazo prove hii kitu.And do you seriously believe any government, utakuwa mjinga sana brother. Hivi unajua kwamba dunia inatawaliwa na psychopaths and extremely evil people.Jamaa anatuambia Wamarekani wanaharibu dunia ili waitawale....cha ajabu hata wao wanaishi humu humu.
Sasa wakishaharibu hii dunia watatawala nini tena?...huyu jamaa hizi 'conspirancy theories' zinamkoroga akili.
Ni kweli kuongeza maarifa ni jambo la muhimu lakini unahisi kweli katika hili nahitaji kujifunza pia?Unahitaji elimu mkuu,tena sana.Hilo ni somo kamili,next time.Ila ungesoma hiyo paper with an open mind ungepata pa kuanzia.
Hivihuna cha kunielemisha mbwa koko wewe
sentensi inayosema 'wamarekani wanachoma dunia ili watutawale..." tayari watakayoiamini ni mburu kenge kama wewe
Hakuna la maana hata kuendelea kusoma huo upumbavu
Unielimishe upumbavu?....Upumbavu ni upumbavu na kuelimisha mtu upumbavu ni greatest crime ever...keep that upumbavu for yourself,do not shove it on other people's throats!
Nenda kwenye udaku,huku kwenye Jamii Intelligence sio level yake.Humu tunachimba mambo yaliyoko nyuma ya pazia.Kama umezoea taarifa za mainstream media,Bungeni wamesema hivi na hivi pole.We are above that.Nimepotea njia huku...[emoji3447]
Hivi
tunachobishania ni nini?Jifanye kama hujawahi kuona wala kusikia hii taarifa.Na hivi unafikiri Jamii Intelligence maana yake nini.
Ngoja twende taratibu mkuu naona kama unajaribu kushambulia watu bila kueleza unachojua.Hivi wamarekani wakishafanya uharibifu huu wao watenda wapi? swali namba moja.So you believe kwa kuwa wanakaa humu humu hawawezi kuiharibu dunia,mawazo ya kipumbavu kabisa haya.So unadhani hao scientists wa the American Air Force walioandika hiyo paper walikuwa na maana gani?Sikiliza we we,taarifa hii sio isolated,ziko nyingi zinazo prove hii kitu.And do you seriously believe any government, utakuwa mjinga sana brother. Hivi unajua kwamba dunia inatawaliwa na psychopaths and extremely evil people.
Yes,upo tena.Hivi why should you bother about a Zombie,si uni-ignore tu.Oh yes,mada zangu ni mkuki moyoni na bado.Yaliyojificha lazima tuyafunue,may be in the process wanadamu watazinduka na kuwageukia.Siamini kwamba Binadamu watabaki kuwa wajinga forever.Jamii intelligence iliwekwa kwa ajili ya watu wenye common sense sio wewe Zombie flat earther
set your mind at ease blood! we're discussing here.Take easy and prove this to us.Leave it if you don't need it,jifanye hujaona wala hujasikia hii taarifa.
Iyo machine naijua sema jina limeni toka lakon ipooUTANGULIZI.
Mkutano unao address mabadiliko ya hali ya hewa,COP26, umekuwa unaendelea Glasgow.Tunaloaminishwa ni kwamba sisi Wanadamu ndio tunaohusika kwa kiwango kikubwa na hali hii kwa kukata misitu nk.Wamefika mbali zaidi,na kudai kwamba mifugo kama Ng'ombe na hata Kilimo cha zao la Mpunga, vinachangia katika kuleta mabadiliko ya hali ya hewa kwa kuwa vinatoa hewa iitwayo Methane, ambayo ni mbaya zaidi hata kuliko Carbon Dioxide katika kuleta Climate Change.Lakini je, hii ni kweli?
Uchunguzi wa kina unaonyesha kwamba hii si kweli,Wanadamu wanachangia kiwango kidogo sana katika kuleta mabadiliko ya Climate.
Utafiti huu umeonyesha wazi kwamba Jeshi la Marekani lina tekinolojia za kuleta Climate Change na linahusika moja kwa mója katika kuharibu hali ya hewa.Kwa nini wanafanya hivyo?Wanafanya hivyo kama mpango wao wa muda mrefu wa hatimaye kuitawala dunia.Ikumbukwe kwamba upo mpango wa kuwa na Mfumo Mpya wa Dunia(NWO),ambapo dunia itakuwa na serikali moja.Mpango huu upo katika hatua za mwisho kabisa za utekelezaji,na tunacho-aminishwa kwamba ni ugonjwa wa Uviko na Chanjo yake ni
tools chache tu za kufikia lengo hilo.
Sasa kama huo ndio ukweli,mkutano wa Glasgow ulikuwa na maana gani.Mkutano ule mimi nauta "a false flag," a con(utapeli) au usanii,ambao ulikuwa una nia ya ku-shift blame kwa watu ambao hawana hatia kabisa,na kuwaacha wenye hatia unscorched.Consequence ya hii ni nini,kuwapa green pass wahusika wakuu,yaani Jeshi la Marekani na kiukweli Shetani,kui-terrorize Dunia kwa kutumia their geo-engineering technologies,hali ambayo tayari tunaiona.The La Palma Volcano,Wild Fires,frequent Cyclones,Floods and Tornadoes ni classic examples.This is geo-terrorism!
Taarifa niliyo ambatanisha hapa chini sio kamili.Nimeleta tu sehemu ambayo itasaidia kuonyesha ukweli huu.Tafadhali wale ambao wanataka kuona taarifa kamili wafuate link ifuatayo⏬
TAARIFA YENYEWE.
Weather as a Force Multiplier:
Owning the Weather by 2025
A Research Paper
Presented To the American
Air Force
by
1.Col Tamzy J. House
2.Lt Col James B. Near, Jr.
3.LTC William B. Shields (USA)
4.Maj Ronald J. Celentano
5.Maj David M. Husband
6.Maj Ann E. Mercer
7.Maj James E. Pugh
in August 1996
(Last updated: 11 December 1996)
(Privately converted to PDF format from the FAS HTML version: 28 January 2015)
Disclaimer
2025 is a study designed to comply with a directive from the chief of staff of the Air Force to
examine the concepts, capabilities, and technologies the United States will require to remain the
dominant air and space force in the future. Presented on 17 June 1996, this report was produced
in the Department of Defense school environment of academic freedom and in the interest of
advancing concepts related to national defense. The views expressed in this report are those of
the authors and do not reflect the official policy or position of the United States Air Force,
Department of Defense, or the United States government.
This report contains fictional representations of future situations/scenarios. Any similarities to
real people or events, other than those specifically cited, are unintentional and are for purposes of
illustration only.
This publication has been reviewed by security and policy review authorities, is unclassified, and
is cleared for public releas
CONTENTS
Chapter
Disclaimer.........................................................................................................1
Illustrations.......................................................................................................2
Tables...............................................................................................................3
Acknowledgments.............................................................................................3
Executive Summary .........................................................................................3
1. Introduction ......................................................................................................5
2. Required Capability ..........................................................................................6
• Why Would We Want to Mess with the Weather? .......................................6
• What Do We Mean by "Weather-modification"? .........................................7
3. System Description ...........................................................................................9
• The Global Weather Network......................................................................9
• Applying Weather-modification to Military Operations.............................10
4. Concept of Operations.....................................................................................12
• Precipitation ..............................................................................................12
• Fog............................................................................................................14
• Storms.......................................................................................................15
• Exploitation of "NearSpace" for Space Control .........................................17
• Opportunities Afforded by Space Weather-modification............................17
• Communications Dominance via Ionospheric Modification.......................17
• Artificial Weather......................................................................................22
• Concept of Operations Summary...............................................................22
5. Investigation Recommendations......................................................................23
• How Do We Get There From Here? ..........................................................23
• Conclusions...............................................................................................25
Appendix ........................................................................................................26
A Why Is the Ionosphere Important? ...............................................................26
B Research to Better Understand and Predict Ionospheric Effects ...................27
C Acronyms and Definitions...........................................................................28
Bibliography ...................................................................................................29
Notes ..............................................................................................................32
[Contact information].....................................................................................36
Illustrations
Figure
3-1. Global Weather Network .................................................................................9
3-2. The Military System for Weather-Modification Operations............................10
4-1. Crossed-Beam Approach for Generating an Artificial Ionospheric Mirror......19
4-2. Artificial Ionospheric Mirrors Point-to-Point Communications......................19
4-3. Artificial Ionospheric Mirror Over-the-Horizon Surveillance Conc
-4. Scenarios for Telecommunications Degradation.............................................21
5-1. A Core Competency Road Map to Weather Modification in 2025..................23
5-2. A Systems Development Road Map to Weather Modification in 2025 ...........24
Tables
Table
1 - Operational Capabilities Matrix .........................................................................4
Acknowledgments
We express our appreciation to Mr Mike McKim of Air War College who provided a wealth of
technical expertise and innovative ideas that significantly contributed to our paper. We are also
especially grateful for the devoted support of our families during this research project. Their
understanding and patience during the demanding research period were crucial to the project's
success.
Executive Summary
In 2025, US aerospace forces can "own the weather" by capitalizing on emerging technologies
and focusing development of those technologies to war-fighting applications. Such a capability
offers the war fighter tools to shape the battlespace in ways never before possible. It provides
opportunities to impact operations across the full spectrum of conflict and is pertinent to all
possible futures. The purpose of this paper is to outline a strategy for the use of a future weather-
modification system to achieve military objectives rather than to provide a detailed technical
road map.
A high-risk, high-reward endeavor, weather-modification offers a dilemma not unlike the
splitting of the atom. While some segments of society will always be reluctant to examine
controversial issues such as weather-modification, the tremendous military capabilities that could
result from this field are ignored at our own peril. From enhancing friendly operations or
disrupting those of the enemy via small-scale tailoring of natural weather patterns to complete
dominance of global communications and counterspace control, weather-modification offers the
war fighter a wide-range of possible options to defeat or coerce an adversary. Some of the
potential capabilities a weather-modification system could provide to a war-fighting commander
in chief (CINC) are listed in table 1.
Technology advancements in five major areas are necessary for an integrated weather-
modification capability: (1) advanced nonlinear modeling techniques, (2) computational
capability, (3) information gathering and transmission, (4) a global sensor array, and (5) weather
intervention techniques. Some intervention tools exist today and others may be developed and
refined in the future.
Chapter 1
Introduction
Scenario: Imagine that in 2025 the US is fighting a rich, but now consolidated, politically
powerful drug cartel in South America. The cartel has purchased hundreds of Russian-and
Chinese-built fighters that have successfully thwarted our attempts to attack their production
facilities. With their local numerical superiority and interior lines, the cartel is launching more
than 10 aircraft for every one of ours. In addition, the cartel is using the French system
probatoire d' observation de la terre (SPOT) positioning and tracking imagery systems, which in
2025 are capable of transmitting near-real-time, multispectral imagery with 1 meter resolution.
The US wishes to engage the enemy on an uneven playing field in order to exploit the full
potential of our aircraft and munitions.
Meteorological analysis reveals that equatorial South America typically has afternoon
thunderstorms on a daily basis throughout the year. Our intelligence has confirmed that cartel
pilots are reluctant to fly in or near thunderstorms. Therefore, our weather force support element
(WFSE), which is a part of the commander in chief's (CINC) air operations center (AOC), is
tasked to forecast storm paths and trigger or intensify thunderstorm cells over critical target areas
that the enemy must defend with their aircraft. Since our aircraft in 2025 have all-weather
capability, the thunderstorm threat is minimal to our forces, and we can effectively and
decisively control the sky over the target.
The WFSE has the necessary sensor and communication capabilities to observe, detect, and act
on weather-modification requirements to support US military objectives. These capabilities are
part of an advanced battle area system that supports the war-fighting CINC. In our scenario, the
CINC tasks the WFSE to conduct storm intensification and concealment operations. The WFSE
models the atmospheric conditions to forecast, with 90 percent confidence, the likelihood of
successful modification using airborne cloud generation and seeding.
In 2025, uninhabited aerospace vehicles (UAV) are routinely used for weather-modification
operations. By cross-referencing desired attack times with wind and thunderstorm forecasts and
the SPOT satellite's projected orbit, the WFSE generates mission profiles for each UAV. The
WFSE guides each UAV using near-real-time information from a networked sensor array.
Prior to the attack, which is coordinated with forecasted weather conditions, the UAVs begin
cloud generation and seeding operations. UAVs disperse a cirrus shield to deny enemy visual
and infrared (IR) surveillance. Simultaneously, microwave heaters create localized scintillation
to disrupt active sensing via synthetic aperture radar (SAR) systems such as the commercially
available Canadian search and rescue satellite-aided tracking (SARSAT) that will be widely
available in 2025. Other cloud seeding operations cause a developing thunderstorm to intensify
over the target, severely limiting the enemy's capability to defend. The WFSE monitors the entire
operation in real-time and notes the successful completion of another very important but routine
weather-modification mission.
This scenario may seem far-fetched, but by 2025 it is within the realm of possibility. The next
chapter explores the reasons for weather-modification, defines the scope, and examines trends
that will make it possible in the next 30 years.
Unaweza pia kuipata hii taarifa in full hapa
⏬
Hao walioandika hiyo paper na waliowatuma kufanya hiyo kazi ni evil people.Na nakushangaa,mbona na we we wanakuathiri.Why don't we join hands in exposing them,in the hope that wanadamu wengi watajua uovu wao and eventually turn against them.Mimi nashangaa sana watu kama ninyi frankly.Ngoja twende taratibu mkuu naona kama unajaribu kushambulia watu bila kueleza unachojua.Hivi wamarekani wakishafanya uharibifu huu wao watenda wapi? swali namba moja.
Pili, unatumia mda mwingi kueleza habari za hiyo pepa yako.Hivi katika hiyo pepa ni kipi kinakupa jeuri ya kuja kutueleza kwamba hatujui chochote?
Mwisho kabisa hao evil people ni wapi waseme.Kama ni watu wabaya hata wewe unaweza kuwa miongoni mwao maana hapana mtu kazaliwa na hii spirit ni vile tunakutana nazo as we interact with environment.Kingine kama kuna watu wabaya, pia wazuri wapo so ondoa shaka
Niambie ukweli we we ukoje.Unatumia Jamii Inteligence kufikisha upumbavu?
Goodridance
Haiwezekani mwanadamu mwenye consciousness akakubaliana na sentensi ya kipumbavu namna hiyo eti Wamarekani wanaharibu climate ya dunia makusudi ili kutawala dunia ambayo wao nao wamo humo humo na hakuna dunia ingine ya kwenda
Thats conspiracy theory,no proof and does not make any sense
Kuna climate deniers USA wengi sana na chama cha R hakijali climate ila chama cha D kinajali climate,this great divide ina balance out
Kungekua na another earth hapo labda wangechoma kwa minajili hiyo....au kama climate ingekua inajali mipaka ya nchi wangefanya,ila climate ni global haijali mipaka,kuchoma ni kujichoma mwenyewe!