kevoomarcus
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 495
- 905
Maswala ya Imani is so complicated. Pia kama huna maisha mazuri huwezi ona thamani ya uhai mi naonaga angalau afya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana usiseme hivyo tema mate chini mara mojaHuyo the almighty ni fictional stories tu.
Hakuna the almighty wala mama yake, the almighty.
Nakwambia hivi Huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.Hapana usiseme hivyo tema mate chini mara moja
1.Hajawahi kuwepo umejuaje? 2.Ama wewe ulikuwepo?Nakwambia hivi Huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
What you have is fear of unknown.
Hakuna !! Ķweli ama wewe ndio huwezi Acha nithibitishe mungu yupoHakuna anayeweza kuthibitisha kuwa MUNGU yupo ama hayupo. Ko tuishi Kwa Imani tu, Wala huwezi pungukiwa kitu ukiamini tu MUNGU yupo, ila kama una mashaka na huamini basi usitukane maana sasa kwann utukane kitu ambacho hakipoo🤔?. Kamwe usitukane Imani za watu, usimtukane mtume Muhammad Wala yesu kristo
Hakuna anayeweza kuthibitisha kuwa MUNGU yupo ama hayupo. Ko tuishi Kwa Imani tu, Wala huwezi pungukiwa kitu ukiamini tu MUNGU yupo, ila kama una mashaka na huamini basi usitukane maana sasa kwann utukane kitu ambacho hakipoo🤔?. Kamwe usitukane Imani za watu, usimtukane mtume Muhammad Wala yesu kristo . Yani ni Bora usiwaamini kuliko kutukana . Ni sawa katka maisha yetu ya kawaida kutukana sio jambo jema
. Yani ni Bora usiwaamini kuliko kutukana . Ni sawa katka maisha yetu ya kawaida kutukana sio jambo jema
Huwezi thibitisha Bali uko na Imani. Apa utanithibitishia kupitia maandiko matakatifu ambayo nayo umeyakuta Wala huna uhakika .NB IMANI ,Hakuna !! Ķweli ama wewe ndio huwezi Acha nithibitishe mungu yupo
Wewe wasemaHuwezi thibitisha Bali uko na Imani. Apa utanithibitishia kupitia maandiko matakatifu ambayo nayo umeyakuta Wala huna uhakika .NB IMANI ,
umejikuta upo kwenye Dunia, una facilities zote. Hewa, maji, matunda, ardhi ambayo ukilima mazao yanaota,Nakwambia hivi Huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
What you have is fear of unknown.
Kuna uzi uliwekwa humu kuhusu mambo mema ambayo wametendewa na Mungu, cha kushangaza wengi walianza kushukuru kwa kupewa uhai.
Mimi kwa mtazamo wangu sidhani kama uhai una faida yeyote kwa aliyeumbwa na kupewa kinachoitwa uhai. Hata ingetokea asingepewa huo uhai hakuna hasara yeyote angepata. Hivyo basi makusudi na faida za uhai anazijua mwenyewe aliyetoa huo uhai. Mbaya zaidi hakuna hata aliyeulizwa ikiwa anahitaji huo uhai ama lah!
Hii dunia inabidi turelax tu, ila hakuna anayejua makusudi ya kuumba binadamu, huu unaoitwa uhai kushukuru ni wendawazimu maana hata usipokufa leo utakufa kesho!
Huyo Mungu alifanywa na nani?umejikuta upo kwenye Dunia, una facilities zote. Hewa, maji, matunda, ardhi ambayo ukilima mazao yanaota,
sense zote unacho kiona, ndo unachokigusa kukinusa, wote mnakiona hicho
kila kitu kilifanywa kua in place kiasi hicho na nani ?
fikiria mfugaji, ana Ng'ombe, amewatengenezea zizi, sehemu ya kuwawekea chakula maji etc.
Ng'ombe anaweza akawa haelewu kama zizi sehemu ya chakula na mazingira yote yamewekwa na anaemtunza
nawe pia una hiyo mind.
vitu vingine hata Sayansi haiwezi kuelezea
MUNGU YUPO
Hayupo kwa vile hakuna uthibitisho wowote ule wa uwepo wake.1.Hajawahi kuwepo umejuaje? 2.Ama wewe ulikuwepo?
Uthibitishe huo uwezekano wa kuwepo kwake.3.uwezekano wa kuwepo kwake haupo ama wewe ndio huoni?