Kama kuna mtu anauza kwa bei ya jumla bidhaa zifuatazo naomba tuwasiliane

Kama kuna mtu anauza kwa bei ya jumla bidhaa zifuatazo naomba tuwasiliane

Osei Tz

Member
Joined
Sep 20, 2018
Posts
96
Reaction score
79
Nipo Kibaigwa Dodoma natafuta mtu ambae yupo dar es salaam au Morogoro ambae atakua ananiuzia na kunitumia kwa njia ya basi bidhaa zifuatazo
1. Bahasha no. 3- original na ya kawaida
2. Blubendi ndoo ya lita10
3. Foili
4. Radha za aina mbalimbali kwaajiri ya cake.

Kama upo tayari naomba tuwasiliane.
ASANTE
 
Watanzania bwana, hakuna aliyeweka bei yake wazi hapa ili na Sisi wanunuzi wengine tujue
 
Back
Top Bottom