Msomali bei ya jumla tsh ngapUkihitaji vijora nione mahi 😜
Afu tatu 😹Msomali bei ya jumla tsh ngap
Shalewa nataka nimpe dada mmoja wa humu ndani avae kimvae haswa jirani.Afu tatu 😹
Jirani msomali unataka kumuhonga nani?
Najua wewe una liquor store sasa hiyo misomali Koh Koh Koh 🤣
😹😹😹Shalewa nataka nimpe dada mmoja wa humu ndani avae kimvae haswa jirani.
Sasa mimi na mishale wapi na wapi jirani, lazima awe anakunia mbezi akiwa kasimama msimbazi B😹😹😹
Bila shaka atakuwa kafungasha, mana msomali unataka zigo haswaa