Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,254
- 2,014
Jidanganye. Utapigwa kama ngoma inaweza kugoga 1.01 hadi mara 5 utashangaaa baada ya hapo inapaaa mpaka 300Air India ime crash 1.09🤣
Mtego huu🤣🤣🤣kuna muda maalum ukirusha ndege lazima ule tu
Rain ya mpaka 1000 😃Mtego huu🤣🤣🤣
wabongo alietunyima akili alituweza. Jamaa kaenda na limemchapa ndio akili zikamrudia na kwa sasa anajidai mshauri rikalimekuchapa...😅
Mwamba kasunuka kaona isiwe tabuwaache mkuu kila mtu afirisike
Mkuu kule kila hela inaliwa sio milioni 10 sio jero.Mwamba kasunuka kaona isiwe tabu
Bora afunguke
Mkuu una moyo mgumu mno 🤣🤣🤣Mkuu kule kila hela inaliwa sio milioni 10 sio jero.
Hakuna kusanua mtu ,kila mtu achakae