GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
uvumilivu ni muhimu,ni mpira hatujui na timu yetu ya yanga,inaweza kufungwaTusubiri tu hiyo Wiki ijayo tarehe 12 tupangiwe na Mamelodi Sundowns FC katika Robo Fainali ya CAFCL tuje kupigwa 4 kwa 0 kwa Mkapa na tukapigwa Kipigo kitakatifu cha Goli 8 Kwao ili Akili zitukae sawa na tujue kuwa hatuna Wachezaji wala Uongozi thabiti.
Nimemaliza.
Chama ni taasisi.Tuna Chama.
Chama mwamba wa lusaka yupo hakitaaribika kituTusubiri tu hiyo Wiki ijayo tarehe 12 tupangiwe na Mamelodi Sundowns FC katika Robo Fainali ya CAFCL tuje kupigwa 4 kwa 0 kwa Mkapa na tukapigwa Kipigo kitakatifu cha Goli 8 Kwao ili Akili zitukae sawa na tujue kuwa hatuna Wachezaji wala Uongozi thabiti.
Nimemaliza.
TUNA CHAMA
alikuwepo jana na hakusaidia chochoteTUNA CHAMA
Haaahaaa, Haaahaaa, Haaahaaa!!!!!!. Ninacheka kwa nguvu kwasababu tayari wameshaanza kumpambania Feisal tangu aanze kuongoza kwa magoli. Kimsingi Feisal ni kama mbadala wao iwapo mfungaji bora hatatoka Simba.Sasa hivi tutahamia kumshabikia fei toto awe mfungaji bora dhidi ya aziz k kama tulivyofanya kwa George Mpole
Alikuwepo juzi kwenye matokeo ya 6-0alikuwepo jana na hakusaidia chochote
Na jana alikuwepo kwenye kipigo kutoka kwa prisonsAlikuwepo juzi kwenye matokeo ya 6-0