Kama kuna mwana Simba SC ambaye kwa matokeo ya jana anajipa matumaini ya ubingwa NBC akatibiwe uwendawazimu haraka

Kama kuna mwana Simba SC ambaye kwa matokeo ya jana anajipa matumaini ya ubingwa NBC akatibiwe uwendawazimu haraka

Tusubiri tu hiyo wiki ijayo tarehe 12 tupangiwe na Mamelodi Sundowns FC katika Robo Fainali ya CAFCL tuje kupigwa 4 kwa 0 kwa Mkapa na tukapigwa Kipigo kitakatifu cha Goli 8 kwao ili Akili zitukae sawa na tujue kuwa hatuna Wachezaji wala Uongozi thabiti.

Nimemaliza.

sema wewe ni genius kimtindo ila huko ukolonizdad kutakuchelewesha kufikia levo za akina eistein
 
Tusubiri tu hiyo wiki ijayo tarehe 12 tupangiwe na Mamelodi Sundowns FC katika Robo Fainali ya CAFCL tuje kupigwa 4 kwa 0 kwa Mkapa na tukapigwa Kipigo kitakatifu cha Goli 8 kwao ili Akili zitukae sawa na tujue kuwa hatuna Wachezaji wala Uongozi thabiti.

Nimemaliza.

kwa Neema na Baraka za Mungu yote yanawezekana 🐒
 
Una tatizo. Kwani tuliposhinda kupitia chama goli 6 tukapita robo hatukuwahi kufungwa?

Kwanini unakataa Chama kutajwa kwa mechi za mbeleni baada ya kufungwa na prison?

Haya ingia kwenye matokeo ya ligi tulizoshinda ujipe reference ya uwepo wa Chama.
Huu ndio uhalisia
 
Attachments

  • FB_IMG_17098002415269200.jpg
    FB_IMG_17098002415269200.jpg
    249.5 KB · Views: 2
Alitaka kuinuka akachungulia alivyoona mpira upo nyavuni akaendelea kulala.
Alifanya utoto sana
Hata goli la kwanza ilikua hivyo hivyo kibu dennis kanyanganywa mpira kazuga kaumia refa kapotezea prisons kaenda kufunga
Simba jana walikua wanacheza sana na refa
 
Back
Top Bottom