Kama kuna mwanafunzi anasoma tahasusi CBG na HGE imekula kwake. NECTA yazifuta rasmi

Kama kuna mwanafunzi anasoma tahasusi CBG na HGE imekula kwake. NECTA yazifuta rasmi

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Ndiyo. Habari ndiyo hiyo. NECTA imezifuta rasmi combinations za CBG na HGE.

Tafuta utaratibu mwingine kama ulikiwa unasoma hizo combinations.
Screenshot_20231218-230749.png

Nimemaliza!
 
CBG ndo nini?
CBG ni Combination inayounda masomo matatu yaani Chemistry, Biology na Geography

Mimi nilishakuwa Mwl. Kipindi flani na nilikuwa napinga sana Mwanafunzi kwenda kusoma combination hii at advanced level

Yaani haimwandai Mwanafunzi katika Profession yoyote ile, nafuu hata CBA coz A ni Agriculture...Mtu anaenda kusomea udaktari wa mifugo au kuwa Bwana Shamba

CBG imepotezea wanafunzi wengi dira...ht Udaktari hawapati kwakuwa hakuna Physics hapo

Bora wamefuta
 
CBG ni Combination inayounda masomo matatu yaani Chemistry, Biology na Geography

Mimi nilishakuwa Mwl. Kipindi flani na nilikuwa napinga sana Mwanafunzi kwenda kusoma combination hii at advanced level

Yaani haimwandai Mwanafunzi katika Proffession yoyote ile, nafuu hata CBA coz A ni Agriculture...Mtu anae da kusomea udaktari wa mifugo au kuwa Bwana Shamba

CBG imepotezea wanafunzi wengi dira...ht Udaktari hawapati kwakuwa hakuna Physics hapo

Bora wamefuta
Ila wengi wameingia kwenye udaktari na sua nawafahamu nimesoma nao
 
Back
Top Bottom