Kama kuna mwanafunzi anasoma tahasusi CBG na HGE imekula kwake. NECTA yazifuta rasmi

Kama kuna mwanafunzi anasoma tahasusi CBG na HGE imekula kwake. NECTA yazifuta rasmi

Ni kweli ila nakuambia by experience...

kwasasa ukitaka kusomea kwa mfano Agro business...nenda na ufaulu wako wa CBG umkute Mtu wa CBA atachukuliwa yeye especcially kwny hizi International Organization au taasisi za uma ambazo zipo serious katika selection

Umeuliza kama kuna combination inayomwandaa Mwanafunzi katika Profession flani nakujibu NDIO

Kwa mfano :-

PCM - Inampeleka moja kwa moja katika Uhandisi, otherwise adiverge mwenyewe kwasababu ya kutaka ajira au maslahi

PCB - Inampeleka katika Udaktari moja kwa moja kwa hapa nchini kwetu

ECA - Inampeleka katika Uhasibu na Usimamizi wa fedha na mambo ya ukusanyaji mapato

KLF - Inampelekea kuwa Mtaalamu wa lugha katika kufundisha na kuzungumza, Uandishi n.k

HGL - Inampelekea katika utaalamu wa Kihistoria na Jiografia kwa lugha ya kiingereza

Aidha, hapo wapo wanaoweza kuwa Waalimu au kuingia katika field zingine kimaslahi tu

Je CBG inampeleka wapi Mwanafunzi directly?
Yaan unahoji CBG inampeleka wapi mwanafunzi?? Swali gani hili? Yaan mtu ana chemistry, biology na geography unauliza baada ya masomo anaenda kuwa nani??. Tanzania nchi yangu mbona unatoa uzao wa watu matahira kiasi hichi? Hivi kila aliesoma PCB anakuwa daktari? Au kila aliesoma PCM anakuwa engineer? combination ya mtu ndio muhimu Au masomo yanayounda combination?.
 
Akija Mwengine anazidudisha . Hapa tungefundishana kufuga Ng'ombe / kilimo mtu unabobea humo miaka Saba ha PhD nadhani tungekuwa mbali Sana kiuchumi. Yaan tusome Practical kwoledge
 
Back
Top Bottom