Kama kuna mwanafunzi anasoma tahasusi CBG na HGE imekula kwake. NECTA yazifuta rasmi

Daah mkosi wa CBG ulianza tangu Ndalichako aliporudishwa wizara ya elimu na jiwe.
TCU ikawaondelea privileges walizokuwa nazo za kusoma fani mbali mbali vyuoni kama BVM(SUA), Medical lab na vitu kama hizo.
Sasa hizi tahasusi zilianzishwa kwa siasa au Lah, kwasababu wanafunzi uzichagua kwa kuwa zipo katika machaguo.
hawaeleweki, Bios na chemo ukiiva mbona lab mpaka moleculer mbona inakaa tu
 
Ila wengi wameingia kwenye udaktari na sua nawafahamu nimesoma nao
Wanaingia kupitia ufaulu wa O-Level na wanaanzia Diploma au Certificate hata kama wamemaliza Form VI
 
Hivi Physics kwenye udaktari inatumika vipi mkuu?
Hahaha, huwezi kujoin Bachelor Degree ya DoM bila kusoma na kufaulu Physics...ilihali binafsi naona kama Mwanafunzi amwfauku vizuri Chemistry na Biology angeruhusiwa tu asomee Udaktari

Plus, unakuta amefaulu vizuri Mathematics na English
 
Inaonekana haya mambo umeacha kufuatilia kitambo sana na kipindi hicho CBG ilikuwa kama PCB tu
Ni kweli ila nakuambia by experience...

kwasasa ukitaka kusomea kwa mfano Agro business...nenda na ufaulu wako wa CBG umkute Mtu wa CBA atachukuliwa yeye especcially kwny hizi International Organization au taasisi za uma ambazo zipo serious katika selection

Umeuliza kama kuna combination inayomwandaa Mwanafunzi katika Profession flani nakujibu NDIO

Kwa mfano :-

PCM - Inampeleka moja kwa moja katika Uhandisi, otherwise adiverge mwenyewe kwasababu ya kutaka ajira au maslahi

PCB - Inampeleka katika Udaktari moja kwa moja kwa hapa nchini kwetu

ECA - Inampeleka katika Uhasibu na Usimamizi wa fedha na mambo ya ukusanyaji mapato

KLF - Inampelekea kuwa Mtaalamu wa lugha katika kufundisha na kuzungumza, Uandishi n.k

HGL - Inampelekea katika utaalamu wa Kihistoria na Jiografia kwa lugha ya kiingereza

Aidha, hapo wapo wanaoweza kuwa Waalimu au kuingia katika field zingine kimaslahi tu

Je CBG inampeleka wapi Mwanafunzi directly?
 
Mkuu jipe muda wa kufuatilia mambo! Umeeleza vizuri kiasi hapo kwa hizo combination nyingine hapo juu, nashangaa imekuwaje ameshindwa kuona umuhimu wa hiyo CBG. Ni nchi yetu tu bado tuko nyuma hata hayo masomo mengine hayatupeleki kokote kwa vile yanasomwa as theory.

Twende pamoja! Mtu mwenye Chemistry, Biology na Geography ni bonge moja la scientist aisee kama ameiva, hauoni anako fit? Are you serious? What about Environmental scientist, Toxicologist, Biochemist, Pharmacologist? Vipi kuhusu Wildlife conservationist, Ecologist, Vertenary scientist? Wildlife biologist, Wildlife scientist/Researcher?. What about GIS specialist, Zoologist, Botanist, Bioengineering?. Ngoja niishie hapo kwa sasa, but put some respect and next time jaribu kuuliza kama hufahamu jambo. Hata mwenyewe nilisoma CBG, na sijutii hata kidogo! Tatizo nchi yetu na elimu yeti inatuandaa kuajiriwa na kwa nchi yetu tumekalilishwa baadhi ya aina za ajira, hivyo unataka usome ukijua kabisa nikimaliza naajiriwa wapi? Kiswali cha kizushi, umewahi kufikiria uhusiano wa mimea na wanyama (tukiwemi binadamu) vipi kuhusu uhusiano wa mimea kwa mimea na wanyama kwa wanyama? Je kuna umuhimu wa kujua hayo mambo? That's some of the are of application ya CBG.

Kwa jumla, kama kweli CBG imefutwa wamekurupuka hata wao wanahitaji kuelimishwa na kufunguliwa macho wafahamu umuhimu wake.

dongbei!
 
Huu ni uzushi,mpaka saa hizi hamna mamlaka yoyote ya serikali iliyothibitisha hii taarifa!!
 
Nimesoma maoni ya watu wengi humu, kuhusu combination ya cbg, nimegundua waTanzania wengi niwavivu wa kusoma na ufuatiliaji wa mambo wengi mnafikiria ndani ya kile mlichofundishwa tu , cbg inampa mwanafunzi uwanda mpana sana, kuanzia mambo ya aquatic science,environmental science, zoology, botanic science, microbiology, labaratory technology, biotechnology, agricultural science, agribusiness, chemistry, geology and so forth, food science, food processing engineering, kwa kifupi hii ni combination maarufu duniani kote na katika nchi nyingi zilizoendelea watu hawa pia kama wanaufaulu mzuri wa physics o level wanasoma medicine bila shida, tatizo wengi wenu humu mnaenda kama manyumbu, Elimu ina uwanda mpana sana nje ya combination, somo moja tu la natural science mfano biology, chemistry, physics likisimama lenyewe bado linampa mwanafunzi mwangaza mzuri kiutaalamu tofauti na hesabu, historia, so as long as CBG iko na two natural science subjects ni upuuzi wa hali ya juu kuifuta hii combination [emoji108]
Umemaliza mkuu...nimeanza kusoma mwanzo nikawa nashangaa...watu wanaandika takataka gani na ujinga gani...CBG ni pure science ile...yaani wale ndo wanamazingira pure wa kitaaluma..
 
hebu ficha ujinga wako na ujinga wa wenzako.... Ngoja nikwambie.... NECTA kazi yake ni moja tuu KURATIBU MASWALA YANAYOHUSIANA NA MITIHANI TUU..... NECTA wanahusika na mitihani tuu... Necta hawana mamlaka ya kufanya marekebisho yoyote kwenye mtaala wa level yoyote ile... Kazi ya Necta. Ni kufanya shuhuli za utahini tuu
 
Nimesoma maoni ya watu wengi humu, kuhusu combination ya cbg, nimegundua waTanzania wengi niwavivu wa kusoma na ufuatiliaji wa mambo wengi mnafikiria ndani ya kile mlichofundishwa tu , cbg inampa mwanafunzi uwanda mpana sana, kuanzia mambo ya aquatic science,environmental science, zoology, botanic science, microbiology, labaratory technology, biotechnology, agricultural science, agribusiness, chemistry, geology and so forth, food science, food processing engineering, kwa kifupi hii ni combination maarufu duniani kote na katika nchi nyingi zilizoendelea watu hawa pia kama wanaufaulu mzuri wa physics o level wanasoma medicine bila shida, tatizo wengi wenu humu mnaenda kama manyumbu, Elimu ina uwanda mpana sana nje ya combination, somo moja tu la natural science mfano biology, chemistry, physics likisimama lenyewe bado linampa mwanafunzi mwangaza mzuri kiutaalamu tofauti na hesabu, historia, so as long as CBG iko na two natural science subjects ni upuuzi wa hali ya juu kuifuta hii combination [emoji108]
Naweza kuiita CBG ni mchezaji kiraka kwenye mpira ka mahali yupo
 
Back
Top Bottom