antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Siyo kweli..Hata EGM ni useless,ibakie ECA
Knowledge ya Advanced maths ni muhimu na hurahisisha mambo mbele huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kweli..Hata EGM ni useless,ibakie ECA
hawaeleweki, Bios na chemo ukiiva mbona lab mpaka moleculer mbona inakaa tuDaah mkosi wa CBG ulianza tangu Ndalichako aliporudishwa wizara ya elimu na jiwe.
TCU ikawaondelea privileges walizokuwa nazo za kusoma fani mbali mbali vyuoni kama BVM(SUA), Medical lab na vitu kama hizo.
Sasa hizi tahasusi zilianzishwa kwa siasa au Lah, kwasababu wanafunzi uzichagua kwa kuwa zipo katika machaguo.
Na wataalamu kibao tu walisoma hizo tahasusi na fresh tu wamefanya hizo fani elimu ya juu.hawaeleweki, Bios na chemo ukiiva mbona lab mpaka moleculer mbona inakaa tu
[emoji23][emoji23][emoji23]Kila nikisoma post zako huwa nadindisha,, una nini wewe????
Wanaingia kupitia ufaulu wa O-Level na wanaanzia Diploma au Certificate hata kama wamemaliza Form VIIla wengi wameingia kwenye udaktari na sua nawafahamu nimesoma nao
Hebu andika vizuri kwanza nikuelewe kisha tuendeleeUnazijua professions Ngaio.?
Hahaha, huwezi kujoin Bachelor Degree ya DoM bila kusoma na kufaulu Physics...ilihali binafsi naona kama Mwanafunzi amwfauku vizuri Chemistry na Biology angeruhusiwa tu asomee UdaktariHivi Physics kwenye udaktari inatumika vipi mkuu?
Maliasilichemistry Biology na geography? hawa wanahusika na nin?
Ni kweli ila nakuambia by experience...Inaonekana haya mambo umeacha kufuatilia kitambo sana na kipindi hicho CBG ilikuwa kama PCB tu
Zile mashine? Ultra sounds? Incubators, MRI T scan.Hivi Physics kwenye udaktari inatumika vipi mkuu?
Mkuu jipe muda wa kufuatilia mambo! Umeeleza vizuri kiasi hapo kwa hizo combination nyingine hapo juu, nashangaa imekuwaje ameshindwa kuona umuhimu wa hiyo CBG. Ni nchi yetu tu bado tuko nyuma hata hayo masomo mengine hayatupeleki kokote kwa vile yanasomwa as theory.Ni kweli ila nakuambia by experience...
kwasasa ukitaka kusomea kwa mfano Agro business...nenda na ufaulu wako wa CBG umkute Mtu wa CBA atachukuliwa yeye especcially kwny hizi International Organization au taasisi za uma ambazo zipo serious katika selection
Umeuliza kama kuna combination inayomwandaa Mwanafunzi katika Profession flani nakujibu NDIO
Kwa mfano :-
PCM - Inampeleka moja kwa moja katika Uhandisi, otherwise adiverge mwenyewe kwasababu ya kutaka ajira au maslahi
PCB - Inampeleka katika Udaktari moja kwa moja kwa hapa nchini kwetu
ECA - Inampeleka katika Uhasibu na Usimamizi wa fedha na mambo ya ukusanyaji mapato
KLF - Inampelekea kuwa Mtaalamu wa lugha katika kufundisha na kuzungumza, Uandishi n.k
HGL - Inampelekea katika utaalamu wa Kihistoria na Jiografia kwa lugha ya kiingereza
Aidha, hapo wapo wanaoweza kuwa Waalimu au kuingia katika field zingine kimaslahi tu
Je CBG inampeleka wapi Mwanafunzi directly?
Umemaliza mkuu...nimeanza kusoma mwanzo nikawa nashangaa...watu wanaandika takataka gani na ujinga gani...CBG ni pure science ile...yaani wale ndo wanamazingira pure wa kitaaluma..Nimesoma maoni ya watu wengi humu, kuhusu combination ya cbg, nimegundua waTanzania wengi niwavivu wa kusoma na ufuatiliaji wa mambo wengi mnafikiria ndani ya kile mlichofundishwa tu , cbg inampa mwanafunzi uwanda mpana sana, kuanzia mambo ya aquatic science,environmental science, zoology, botanic science, microbiology, labaratory technology, biotechnology, agricultural science, agribusiness, chemistry, geology and so forth, food science, food processing engineering, kwa kifupi hii ni combination maarufu duniani kote na katika nchi nyingi zilizoendelea watu hawa pia kama wanaufaulu mzuri wa physics o level wanasoma medicine bila shida, tatizo wengi wenu humu mnaenda kama manyumbu, Elimu ina uwanda mpana sana nje ya combination, somo moja tu la natural science mfano biology, chemistry, physics likisimama lenyewe bado linampa mwanafunzi mwangaza mzuri kiutaalamu tofauti na hesabu, historia, so as long as CBG iko na two natural science subjects ni upuuzi wa hali ya juu kuifuta hii combination [emoji108]
Hata EGM ni useless,ibakie ECA
Naweza kuiita CBG ni mchezaji kiraka kwenye mpira ka mahali yupoNimesoma maoni ya watu wengi humu, kuhusu combination ya cbg, nimegundua waTanzania wengi niwavivu wa kusoma na ufuatiliaji wa mambo wengi mnafikiria ndani ya kile mlichofundishwa tu , cbg inampa mwanafunzi uwanda mpana sana, kuanzia mambo ya aquatic science,environmental science, zoology, botanic science, microbiology, labaratory technology, biotechnology, agricultural science, agribusiness, chemistry, geology and so forth, food science, food processing engineering, kwa kifupi hii ni combination maarufu duniani kote na katika nchi nyingi zilizoendelea watu hawa pia kama wanaufaulu mzuri wa physics o level wanasoma medicine bila shida, tatizo wengi wenu humu mnaenda kama manyumbu, Elimu ina uwanda mpana sana nje ya combination, somo moja tu la natural science mfano biology, chemistry, physics likisimama lenyewe bado linampa mwanafunzi mwangaza mzuri kiutaalamu tofauti na hesabu, historia, so as long as CBG iko na two natural science subjects ni upuuzi wa hali ya juu kuifuta hii combination [emoji108]