Kama kuna mwanafunzi anasoma tahasusi CBG na HGE imekula kwake. NECTA yazifuta rasmi

CBG ndo nini?
CBG ni Combination inayounda masomo matatu yaani Chemistry, Biology na Geography

Mimi nilishakuwa Mwl. Kipindi flani na nilikuwa napinga sana Mwanafunzi kwenda kusoma combination hii at advanced level

Yaani haimwandai Mwanafunzi katika Profession yoyote ile, nafuu hata CBA coz A ni Agriculture...Mtu anaenda kusomea udaktari wa mifugo au kuwa Bwana Shamba

CBG imepotezea wanafunzi wengi dira...ht Udaktari hawapati kwakuwa hakuna Physics hapo

Bora wamefuta
 
Ila wengi wameingia kwenye udaktari na sua nawafahamu nimesoma nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…