Kama kuna timu hapa bongo haijawahi kufungwa goli sita na Simba ipite mbele.

Kama kuna timu hapa bongo haijawahi kufungwa goli sita na Simba ipite mbele.

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Simba kuwapa watu dozi nzito ni kawaida yake, kama kuna timu yeyeto hapa bongo haijawahi kufungwa goli sita upite mbele.

0D6C8CE0-4ABB-4FF7-B4B6-866B716A8E51.jpeg
 
Yaani wenzio machungu hayajapoa wewe unakuja kuyafufua

Pole hawatokuja kukusapoti
 
Kweli maisha yanaenda kasi sana.
Wakati Yanga anawaza hesabu za namna gani acheze nusu fainali, kuna timu inajipapatua kutafuta tiketi ya kucheza robo fainali.

Wakati Yanga msimu huu ikiona ni kawaida kushinda magoli mengi hasa kwa timu kubwa zulizopo ligi kuu hadi klabu bingwa, kuna timu leo inafurahia kuifunga timu daraja la pili magoli mengi.
 
Kweli maisha yanaenda kasi sana.
Wakati Yanga anawaza hesabu za namna gani acheze nusu fainali, kuna timu inajipapatua kutafuta tiketi ya kucheza robo fainali.

Wakati Yanga msimu huu ikiona ni kawaida kushinda magoli mengi hasa kwa timu kubwa zulizopo ligi kuu hadi klabu bingwa, kuna timu leo inafurahia kuifunga timu daraja la kwanza nagoli mengi.
Aahaaaaa

Wapo bize na kujifarij
 
TRA haipo daraja la kwanza, ni timu ya daraja la pili. Simba iliyocheza Leo Haina uwezo wa kuifunga timu yoyote ya daraja la kwanza goli 6.
Nduguzetu mbumbumbu Fc wanakazi kubwa mbeleni.
 
Back
Top Bottom