Kama kuna timu hapa bongo haijawahi kufungwa goli sita na Simba ipite mbele.

Yaani wenzio machungu hayajapoa wewe unakuja kuyafufua

Pole hawatokuja kukusapoti
 
Kweli maisha yanaenda kasi sana.
Wakati Yanga anawaza hesabu za namna gani acheze nusu fainali, kuna timu inajipapatua kutafuta tiketi ya kucheza robo fainali.

Wakati Yanga msimu huu ikiona ni kawaida kushinda magoli mengi hasa kwa timu kubwa zulizopo ligi kuu hadi klabu bingwa, kuna timu leo inafurahia kuifunga timu daraja la pili magoli mengi.
 
Aahaaaaa

Wapo bize na kujifarij
 
TRA haipo daraja la kwanza, ni timu ya daraja la pili. Simba iliyocheza Leo Haina uwezo wa kuifunga timu yoyote ya daraja la kwanza goli 6.
Nduguzetu mbumbumbu Fc wanakazi kubwa mbeleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…