Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,366
- 5,209
Michango ya tonetone ambayo kwa sasa inakaribia kufika mil 350 ni ushahidi kuwa Watanzania hawaitaki tena CCM.
Watanzania tupambane kupata katiba mpya kama alivyotushauri Judas of CCM
Hapo ndipo tutapata tume huru ya uchaguzi.
Watanzania tupambane kupata katiba mpya kama alivyotushauri Judas of CCM
Hapo ndipo tutapata tume huru ya uchaguzi.