Kama kuna tume huru ya uchaguzi, CCM haiwezi kuishinda CHADEMA. Michango ya tonetone ni uthibitisho kamili

Kama kuna tume huru ya uchaguzi, CCM haiwezi kuishinda CHADEMA. Michango ya tonetone ni uthibitisho kamili

Michango ya tonetone ambayo kwa sasa inakaribia kufika mil 350 ni ushahidi kuwa Watanzania hawaitaki tena CCM.

Watanzania tupambane kupata katiba mpya kama alivyotushauri Judas of CCM
Hapo ndipo tutapata tume huru ya uchaguzi.
Kamanda usiye choka kwa upande a CCM au vip
 
Back
Top Bottom