Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,366
- 5,209
Tuliza mzuka.Imefika bilion ngapi?
Bilioni zinachangwa na wezi wa mali ya umma, wakwepa kodi na mafisadi., umesahau yale ya Mlimani city? Tone tone inachangwa na wakaanga vitumbua, wauza karanga, wachoma mahindi, wauza kashata etc. Kufika bilioni ni mtihani maana wao wanatoa 200, 500 na bukuImefika bilion ngapi?
😅😅Tuliza mzuka.
Mbona hilo liko wazi hata hao ccm wanalijuaImefika bilion ngapi?
Hakika cdm ni Tumi ya taifaBilioni zinachangwa na wezi wa mali ya umma, wakwepa kodi na mafisadi., umesahau yale ya Mlimani city? Tone tone inachangwa na wakaanga vitumbua, wauza karanga, wachoma mahindi, wauza kashata etc. Kufika bilioni ni mtihani maana wao wanatoa 200, 500 na buku
Wewe ni maku tu unachoweza ni kukojolewa tuUwe unatumia akili na wewe na siyo kukurupuka kama kuku. Hivi wewe huoni aibu chama kinashindwa kukusanya Million mia 4 zaidi ya Wili moja?
Embu fikiria kama chama kingekuwa na wanachama hata laki nne tu na kila mmoja akachangia shilingi Elfu moja tu unafikiri kingepata shilingi ngapi ndani ya siku moja au Mbili?
Atoe location tu wana wa kitaa watamzukia wampelekee motoHuyo ni shoga anatafuta bwana Kwa nguvuuu
Kamanda ulipotea sanaMichango ya tonetone ambayo kwa sasa inakaribia kufika mil 350 ni ushahidi kuwa Watanzania hawaitaki tena CCM.
Watanzania tupambane kupata katiba mpya kama alivyotushauri Judas of CCM
Hapo ndipo tutapata tume huru ya uchaguzi.
Nikichangia chochote hapa, nitakuwa mjinga zaidi ya mtoa post.Michango ya tonetone ambayo kwa sasa inakaribia kufika mil 350 ni ushahidi kuwa Watanzania hawaitaki tena CCM.
Watanzania tupambane kupata katiba mpya kama alivyotushauri Judas of CCM
Hapo ndipo tutapata tume huru ya uchaguzi.
CCM mlichangiwa bil 100 na mafisadi na bado Oktoba 29 mkaua watu ili mkae madarakaniUwe unatumia akili na wewe na siyo kukurupuka kama kuku. Hivi wewe huoni aibu chama kinashindwa kukusanya Million mia 4 zaidi ya Wili moja?
Embu fikiria kama chama kingekuwa na wanachama hata laki nne tu na kila mmoja akachangia shilingi Elfu moja tu unafikiri kingepata shilingi ngapi ndani ya siku moja au Mbili?
Nimepita wima;sijasoma,unaandika utumbo kila sikuUwe unatumia akili na wewe na siyo kukurupuka kama kuku. Hivi wewe huoni aibu chama kinashindwa kukusanya Million mia 4 zaidi ya Wili moja?
Embu fikiria kama chama kingekuwa na wanachama hata laki nne tu na kila mmoja akachangia shilingi Elfu moja tu unafikiri kingepata shilingi ngapi ndani ya siku moja au Mbili?
Jamaa ni mpuuzi sana.Nimepita wima;sijasoma,unaandika utumbo kila siku
Kiasi cha pesa ambacho Chadema wamekusanya hadi sasa hakiendani na ukubwa wao.Michango ya tonetone ambayo kwa sasa inakaribia kufika mil 350 ni ushahidi kuwa Watanzania hawaitaki tena CCM.
Watanzania tupambane kupata katiba mpya kama alivyotushauri Judas of CCM
Hapo ndipo tutapata tume huru ya uchaguzi.
Kama watu wakishawishiwa kiasi cha kutosha kupitia hizo hizo buku buku upo uwezekano wa kufikia bilion.Bilioni zinachangwa na wezi wa mali ya umma, wakwepa kodi na mafisadi., umesahau yale ya Mlimani city? Tone tone inachangwa na wakaanga vitumbua, wauza karanga, wachoma mahindi, wauza kashata etc. Kufika bilioni ni mtihani maana wao wanatoa 200, 500 na buku