Kama kuna Ulazima wa Kubadili Jina la Waziri wa Fedha napendekeza David Kafulila au Zitto Kabwe

Ikishindana wamjaribu Dr.Kimei maana chama dola viongozi wake ni wa kutest test.
Akishika huyu maji mtaita mmaaa maana atashindwa ku balance Kati ya Uchumi na siasa ataegemea zaidi kwenye uchumi na kanuni zake sasa mtasugua meno zaidi..

Kwanza Dr.Kimei ni muumini wa Expansionary/Inflanationary policies ambapo ataweka ukomo wa mfumuko wa bei kuwa 9% and below saizi target ni 5% and below mnalia Lia,akiwa Kimei mtasaga meno..

Mwisho ataongeaje kwenye mikutano ya Rais ya hadhara na wakati hawezi kujieleza kwa ordinary people wakaelewa?
 
Kama viti maalum vyote 10 vimejaa Rais anaweza akamteua mbunge yeyote kutoka viti maalum kuwa balozi kisha akamteua mtanzania mwingine yeyote kuwa mbunge akampa uwaziri.

Hata hivyo katika hao wawili uliowataja hakuna afaaye hata mmoja kuwa waziri wa fedha heri hata ungenipendekeza mimi.
 

Asante maana umejisemea mwenyewe kusa huo ni ushauri wako! Ulale salama!
 
Mr. Hamnazo yuko kazini.
 
Zitto kabwe ni bonge la kifaa,hiyo ndio wizara inayomfaa
 
Ila Madelu unajua kuwachezea watu akili [emoji119]
 
Kwakuwa umevaa miwani ya mbao hutaweza mwona mwingine 🚶
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…