The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
- Thread starter
- #21
Akishika huyu maji mtaita mmaaa maana atashindwa ku balance Kati ya Uchumi na siasa ataegemea zaidi kwenye uchumi na kanuni zake sasa mtasugua meno zaidi..Ikishindana wamjaribu Dr.Kimei maana chama dola viongozi wake ni wa kutest test.
Kwanza Dr.Kimei ni muumini wa Expansionary/Inflanationary policies ambapo ataweka ukomo wa mfumuko wa bei kuwa 9% and below saizi target ni 5% and below mnalia Lia,akiwa Kimei mtasaga meno..
Mwisho ataongeaje kwenye mikutano ya Rais ya hadhara na wakati hawezi kujieleza kwa ordinary people wakaelewa?