Kama kuna Ulazima wa Kubadili Jina la Waziri wa Fedha napendekeza David Kafulila au Zitto Kabwe

Wewe funza kweli, pressure inipate mimi Kwa mambo ya Mwigulu na SSH?..

Mimi sishikiwi akili kama Mbowe alivyowashikia huko Ufipa na kama Mwendazake alivyowashikia huko Sukuma Gang?
Kwa Mbowe sipo, Kwa S100 sipo, s.gang sipo, nabaki MTANZANIA saaaf!!!!
 
Hizi post ya Finance Minister/Home Minister ni very sensitive katika nchi allover the World, ushabiki katika post hizi ni kutokufikiri kwa ufasaha, inatakiwa very senior ministers na ambao ni really royal katika nchi ambao honestly katika nchi yetu kwa sasa sijaona which is sad. David Kafulila anaweza ila still too junior kwa hiyo post, needs very close supervision if appointed, Zito big NO, my opinion.
 
Kama italazimu kupata Waziri mwingine wa Fedha badala ya Mwigulu Nchemba basi mmja wapo Kati ya David Kafulila almaarufu tumbili au Zito Kabwe wa ACT Wazalendo can make a good choice,huu ni ushauri Wangu tu sio lazima Mh. Rais aufuate.

Sijaona mtu Mwingine yeyote wa kuvaa viatu vya Comrede Dr Mwigulu tofauti na hao.

Japo so far hiyo haja au ulazima sijauona. Uzi tayari.
Kukiwa na ulazima wa kupata Waziri wa Fedha basi bila shaka apewe Charles Kimei The Economist.

Ni wakati sasa watu walioprove kuongoza Taasisi na Biashara kwa mafanikio ndo wapewe nafasi za uwaziri
 
Acha uzuzu,umtoe Wizara ya Kilimo aje Wizara ya Fedha si itakuwa ni ku underutilize potential yake?

Kilimo kinahitaji brain kubwa,huku Wizara ya fedha tayari kuna hao watu inatakiwa team leader tuu hapo juu.
Nimetoa maoni sijakutukuna we unaekuwa nakili kamq tundu lanyuma
 
Kukiwa na ulazima wa kupata Waziri wa Fedha basi bila shaka apewe Charles Kimei The Economist.

Ni wakati sasa watu walioprove kuongoza Taasisi na Biashara kwa mafanikio ndo wapewe nafasi za uwaziri
Kimei atawaliza mlio wengi,yule ni pro expansionary policy na matokeo yake ni mfumuko wa bei ambao Kwa uchumi hauna shida ila kwa watu wengi watapata shida..mara kadhaa ameitaka serikali kuondoa ukomo wa 5% ya inflation yeye akitaka iwe 9%.

Pili hawezi kujieleza kwenye majukwaa ya siasa ,too academician na protokali nyingi za kwenye vitabu,politics haitaki hivyo.
 
Hao Wala Hawastahiri Mfano Mpango Alituvuruga Mpaka
 
Kama italazimu kupata Waziri mwingine wa Fedha badala ya Mwigulu Nchemba basi mmja wapo Kati ya David Kafulila almaarufu tumbili au Zito Kabwe wa ACT Wazalendo can make a good choice,huu ni ushauri Wangu tu sio lazima Mh. Rais aufuate.

Sijaona mtu Mwingine yeyote wa kuvaa viatu vya Comrede Dr Mwigulu tofauti na hao.

Japo so far hiyo haja au ulazima sijauona. Uzi tayari.
Unapoteza muda hao wote hawafai kushika nafasi hiyo wafuatilie vzr utawajua
 
Kimei atawaliza mlio wengi,yule ni pro expansionary policy na matokeo yake ni mfumuko wa bei ambao Kwa uchumi hauna shida ila kwa watu wengi watapata shida..mara kadhaa ameitaka serikali kuondoa ukomo wa 5% ya inflation yeye akitaka iwe 9%.

Pili hawezi kujieleza kwenye majukwaa ya siasa ,too academician na protokali nyingi za kwenye vitabu,politics haitaki hivyo.
We need brains kwenye cabinet! Watu wenye uwezo walioonyesha kwa mifano kuwa wameweza kuongoza biashara na taasisi zikafanikiwa na kutengeneza faida sio watu wanaojua kujieleza. Huko kujua kujieleza ndo kunatufanya tuwe na Mawaziri wanaoongoza sekta nyeti ambao hawajui hata abcd ya sekta zao na ndo mana tunachelewa kufika tunapotaka kufika
 
Umezimgatia nilochokwambia hapo au unapayuka tuu?

Wewe unataka sera za kubana mfumuko wa bei au za kuachia mfumuko wa bei? Tuanzie hapo kwanza..

Kujieleza ni muhimu ataulizwa swali atashindwa kutoa majibu ya kueleweka muanze tena kusema maprogesa hakuna kitu.
 
Back
Top Bottom