Kwa Mbowe sipo, Kwa S100 sipo, s.gang sipo, nabaki MTANZANIA saaaf!!!!Wewe funza kweli, pressure inipate mimi Kwa mambo ya Mwigulu na SSH?..
Mimi sishikiwi akili kama Mbowe alivyowashikia huko Ufipa na kama Mwendazake alivyowashikia huko Sukuma Gang?
Kukiwa na ulazima wa kupata Waziri wa Fedha basi bila shaka apewe Charles Kimei The Economist.Kama italazimu kupata Waziri mwingine wa Fedha badala ya Mwigulu Nchemba basi mmja wapo Kati ya David Kafulila almaarufu tumbili au Zito Kabwe wa ACT Wazalendo can make a good choice,huu ni ushauri Wangu tu sio lazima Mh. Rais aufuate.
Sijaona mtu Mwingine yeyote wa kuvaa viatu vya Comrede Dr Mwigulu tofauti na hao.
Japo so far hiyo haja au ulazima sijauona. Uzi tayari.
Nimetoa maoni sijakutukuna we unaekuwa nakili kamq tundu lanyumaAcha uzuzu,umtoe Wizara ya Kilimo aje Wizara ya Fedha si itakuwa ni ku underutilize potential yake?
Kilimo kinahitaji brain kubwa,huku Wizara ya fedha tayari kuna hao watu inatakiwa team leader tuu hapo juu.
Anamtoa mmoja Kati ya wale aliowateu anampa ubalozi then anatewa mbunge mwingine viti vya rais bado anavyo.Kikatiba waziri ni lazima atokane na wabunge, hao uliopendekeza hakuna mbunge na Rais ameshamaliza viti vyake.
Kimei atawaliza mlio wengi,yule ni pro expansionary policy na matokeo yake ni mfumuko wa bei ambao Kwa uchumi hauna shida ila kwa watu wengi watapata shida..mara kadhaa ameitaka serikali kuondoa ukomo wa 5% ya inflation yeye akitaka iwe 9%.Kukiwa na ulazima wa kupata Waziri wa Fedha basi bila shaka apewe Charles Kimei The Economist.
Ni wakati sasa watu walioprove kuongoza Taasisi na Biashara kwa mafanikio ndo wapewe nafasi za uwaziri
Unapoteza muda hao wote hawafai kushika nafasi hiyo wafuatilie vzr utawajuaKama italazimu kupata Waziri mwingine wa Fedha badala ya Mwigulu Nchemba basi mmja wapo Kati ya David Kafulila almaarufu tumbili au Zito Kabwe wa ACT Wazalendo can make a good choice,huu ni ushauri Wangu tu sio lazima Mh. Rais aufuate.
Sijaona mtu Mwingine yeyote wa kuvaa viatu vya Comrede Dr Mwigulu tofauti na hao.
Japo so far hiyo haja au ulazima sijauona. Uzi tayari.
We need brains kwenye cabinet! Watu wenye uwezo walioonyesha kwa mifano kuwa wameweza kuongoza biashara na taasisi zikafanikiwa na kutengeneza faida sio watu wanaojua kujieleza. Huko kujua kujieleza ndo kunatufanya tuwe na Mawaziri wanaoongoza sekta nyeti ambao hawajui hata abcd ya sekta zao na ndo mana tunachelewa kufika tunapotaka kufikaKimei atawaliza mlio wengi,yule ni pro expansionary policy na matokeo yake ni mfumuko wa bei ambao Kwa uchumi hauna shida ila kwa watu wengi watapata shida..mara kadhaa ameitaka serikali kuondoa ukomo wa 5% ya inflation yeye akitaka iwe 9%.
Pili hawezi kujieleza kwenye majukwaa ya siasa ,too academician na protokali nyingi za kwenye vitabu,politics haitaki hivyo.
Umezimgatia nilochokwambia hapo au unapayuka tuu?We need brains kwenye cabinet! Watu wenye uwezo walioonyesha kwa mifano kuwa wameweza kuongoza biashara na taasisi zikafanikiwa na kutengeneza faida sio watu wanaojua kujieleza. Huko kujua kujieleza ndo kunatufanya tuwe na Mawaziri wanaoongoza sekta nyeti ambao hawajui hata abcd ya sekta zao na ndo mana tunachelewa kufika tunapotaka kufika