Kama kuna Ulazima wa Kubadili Jina la Waziri wa Fedha napendekeza David Kafulila au Zitto Kabwe

Kama italazimu kupata Waziri mwingine wa Fedha badala ya Mwigulu Nchemba basi mmja wapo Kati ya David Kafulila almaarufu tumbili au Zito Kabwe wa ACT Wazalendo can make a good choice,huu ni ushauri Wangu tu sio lazima Mh. Rais aufuate.

Sijaona mtu Mwingine yeyote wa kuvaa viatu vya Comrede Dr Mwigulu tofauti na hao.

Japo so far hiyo haja au ulazima sijauona. Uzi tayari.
Kwa maana hiyo Tanznaia yetu imeishiwa kabisha wasomi na vipaji .......!!
 
Kikatiba waziri ni lazima atokane na wabunge, hao uliopendekeza hakuna mbunge na Rais ameshamaliza viti vyake.
Kikatiba inamruhusu kumchomoa ktk aliowateua na kupachika mwingine ref. Mh possi.
 
Kama italazimu kupata Waziri mwingine wa Fedha badala ya Mwigulu Nchemba basi mmja wapo Kati ya David Kafulila almaarufu tumbili au Zito Kabwe wa ACT Wazalendo can make a good choice,huu ni ushauri Wangu tu sio lazima Mh. Rais aufuate.

Sijaona mtu Mwingine yeyote wa kuvaa viatu vya Comrede Dr Mwigulu tofauti na hao.

Japo so far hiyo haja au ulazima sijauona. Uzi tayari.
Hahaaa, hoja ya kubadili ujaiona na unapendekeza mbadala, umelewa??

Anyway, Iko time saa mbovu husema Kweli,

Waziri fedha ni either KIMEI or KAFULILA.
 
Kimei maji mtaita mmaaa 😁😁😁😁.

Kafulila sijamsoma msimamo wake kweyu uchumi maana huwa anaongea maneno meengi ya kiuchambuzi..

Mwisho unaweza kuishia kuwa na wishful thinking ila Mwigulu hatokinleo Wala kesho Kisa makelele yenu ya kijinga 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220824-140941.png
    Screenshot_20220824-140941.png
    57.5 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220824-141037.png
    Screenshot_20220824-141037.png
    86 KB · Views: 5
Kama italazimu kupata Waziri mwingine wa Fedha badala ya Mwigulu Nchemba basi mmja wapo Kati ya David Kafulila almaarufu tumbili au Zito Kabwe wa ACT Wazalendo can make a good choice,huu ni ushauri Wangu tu sio lazima Mh. Rais aufuate.

Sijaona mtu Mwingine yeyote wa kuvaa viatu vya Comrede Dr Mwigulu tofauti na hao.

Japo so far hiyo haja au ulazima sijauona. Uzi tayari.
Wewe kumbehuwajui wanaofaa hakuna kama Hussein bashe jamaa anajuwa sana lakini nchi kunakauzito
 
H
Kimei maji mtaita mmaaa 😁😁😁😁.

Kafulila sijamsoma msimamo wake kweyu uchumi maana huwa anaongea maneno meengi ya kiuchambuzi..

Mwisho unaweza kuishia kuwa na wishful thinking ila Mwigulu hatokinleo Wala kesho Kisa makelele yenu ya kijinga

Kimei maji mtaita mmaaa 😁😁😁😁.

Kafulila sijamsoma msimamo wake kweyu uchumi maana huwa anaongea maneno meengi ya kiuchambuzi..

Mwisho unaweza kuishia kuwa na wishful thinking ila Mwigulu hatokinleo Wala kesho Kisa makelele yenu ya kijinga 👇
Hahaaa, mmechanganyikiwa,.
Akili ndogo anatabia ya kuelewa jambo baada ya kukaripiwa na kupigiwa kelele masikioni ndipo yanazibuka.

Nilisema, tozo ya miamala ya kibank ni ya mwisho Kwa mwigu kutoza akiwa waziri.

Tunza hiyo.
 
Wewe kumbehuwajui wanaofaa hakuna kama Hussein bashe jamaa anajuwa sana lakini nchi kunakauzito
Acha uzuzu,umtoe Wizara ya Kilimo aje Wizara ya Fedha si itakuwa ni ku underutilize potential yake?

Kilimo kinahitaji brain kubwa,huku Wizara ya fedha tayari kuna hao watu inatakiwa team leader tuu hapo juu.
 
H

Hahaaa, mmechanganyikiwa,.
Akili ndogo anatabia ya kuelewa jambo baada ya kukaripiwa na kupigiwa kelele masikioni ndipo yanazibuka.

Nilisema, tozo ya miamala ya kibank ni ya mwisho Kwa mwigu kutoza akiwa waziri.

Tunza hiyo.
Ngoja tuone bwana akili kubwa,unatoa mda gani wa yeye kuwepo Wizara ya fedha Ili tuweke Kumbukumbu sawa?
 
Verry soon, nikitaja muda, pressure itakumaliza chawa we!!!

Bt tuache utani, KIMEI akikaa pale na akamsikiliza Mpango, watamshauri Kiongozi wetu vizuri sana.
 
Dawa si kubadilisha watu, Dawa ni kubadilisha muundo wa utawala wa nchi yetu - Katiba Mpya is NOT an option we MUST GET IT NOW !!
 
Berry soon, nikitaja muda, pressure itakumaliza chawa we!!!

Bt tuache utani, KIMEI akikaa pale na akamsikiliza Mpango, watamshauri Kiongozi wetu vizuri sana.
Wewe funza kweli, pressure inipate mimi Kwa mambo ya Mwigulu na SSH?..

Mimi sishikiwi akili kama Mbowe alivyowashikia huko Ufipa na kama Mwendazake alivyowashikia huko Sukuma Gang?
 
Kama italazimu kupata Waziri mwingine wa Fedha badala ya Mwigulu Nchemba basi mmja wapo Kati ya David Kafulila almaarufu tumbili au Zito Kabwe wa ACT Wazalendo can make a good choice,huu ni ushauri Wangu tu sio lazima Mh. Rais aufuate.

Sijaona mtu Mwingine yeyote wa kuvaa viatu vya Comrede Dr Mwigulu tofauti na hao.

Japo so far hiyo haja au ulazima sijauona. Uzi tayari.
ZZK ni Snitch mkubwa
Kwa sasa vichwani mwa vijana ashatoka,, haaminiki tena yule hafai
 
Kwani Vijana ndio wanapanga safu ya utawala? 😁😁😁😁.

Pole Sana Mzee,utawala unahitaji watu snitch sio wanaojifanya wajuaji.
 
Back
Top Bottom