Kama kuna wanaotaman kesho iwe April wenye lodge na wauza kitimoto kwa sasa wanateseka SANA sana

Kama kuna wanaotaman kesho iwe April wenye lodge na wauza kitimoto kwa sasa wanateseka SANA sana

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
YAAN Huu mwezi imekuwa mchungu sana kwa wenye lodge na wauza kitimoto bila kusahau madada poa huu mwezi wameamua hadi kushusha bei hii na Baraka KUBWA SANA

Jana nilienda kumchukua kijana MMOJA alikuwa lodge sinza na Gen z MMOJA

GAFLA akaniambia nimsubiri SEHEMU ya vinywaji nikajiagizia wine chupa Wala sikufikiri mara mbili

Nimekaa kama nusu saa na robo YAAN Ile lodge Haina watu kabisa kabisa inasikitisha sanaa sana wapendwa sikutaka kuamini

Nkauliza recp sh ngapi nkakutaa kawaida 15-25
Alf dah

TUkatoka hapoo TUKAENDA kwenye makao makuu ya wauza kitimoto kimara mwisho

Doh huko si haba NAFIKIRI wakristo bado hawajaanza funga ila kulikuwa na upungufu mkubwaa sana WA watu tofauti nilivyozoea gari zimejaa Nje kibaoo this time loh za kuhesabika

Nkajua hapa kuna upungufu SEHEMU

Anyway polen sana yote haya n Ibada hamna budi na nyie KUFUNGA ofisi zenu tuingie wote kwenye ibada

Kama mapenzi WA wale gen z wa barabaran mda ndio huuu wametoa punguzo la mwezi march anzis MAPAMBANO mpaka Makaburini...
 
Dhihaki tu ya dini yetu ndo lengo lako hamna jingine
 
Back
Top Bottom