Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,926 Reaction score 95,626 Sep 25, 2018 #21 Mzigua90 said: Ningeigiza mwenyewe ila mwanaume wangu awe Michael Ealy au Idris Elba Click to expand... Mwanaume wako yupi wakati upo single?!
Mzigua90 said: Ningeigiza mwenyewe ila mwanaume wangu awe Michael Ealy au Idris Elba Click to expand... Mwanaume wako yupi wakati upo single?!
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,342 Reaction score 88,625 Sep 25, 2018 #22 Behaviourist said: Mwanaume wako yupi wakati upo single?! Click to expand... Si kwenye kuigiza.. Hahahahaa
Behaviourist said: Mwanaume wako yupi wakati upo single?! Click to expand... Si kwenye kuigiza.. Hahahahaa
Jr. Gong Mira JF-Expert Member Joined Dec 14, 2017 Posts 1,281 Reaction score 1,300 Sep 25, 2018 #23 stritglow said: Umepata chance ya kutengeneza movie inayohusu maisha yako, money isn't an issue, unaambiwa mchague mwigizaji yoyote yule, iwe wa hapa Tz au nje ya nchi atakaeigiza sehemu yako kwenye hiyo movie. Ungemchagua nani? Click to expand... Hemed PHD
stritglow said: Umepata chance ya kutengeneza movie inayohusu maisha yako, money isn't an issue, unaambiwa mchague mwigizaji yoyote yule, iwe wa hapa Tz au nje ya nchi atakaeigiza sehemu yako kwenye hiyo movie. Ungemchagua nani? Click to expand... Hemed PHD
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,627 Reaction score 38,689 Sep 27, 2018 #24 Mandingo
Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,165 Reaction score 16,791 Sep 27, 2018 #25 Jimmy Carrey na Leonardo DiCaprio yani hawa wote awe mtu mmoja ndiyo utanipata mimi ndani yake
Ze last Born JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 1,770 Reaction score 3,867 Sep 27, 2018 #26 Miraj Mussa said: Hemed PHD Click to expand... Duuh! Asante kwa uzalendo mkuu,,maana naona watu wanataja majina ya holiwudi tu[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Miraj Mussa said: Hemed PHD Click to expand... Duuh! Asante kwa uzalendo mkuu,,maana naona watu wanataja majina ya holiwudi tu[emoji125] [emoji125] [emoji125]