Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Mimi nsingebonyeza kabisa. Maana nisingekuwa na uhakika kama ntarudi kuwa hapa nilipo na ku enjoy life. Hiyo button ningesema iondolewe nisije nika press hata kwa bahati mbaya.
Kumbuka unapokuja anza unaanza upya kila kitu lets say unaanzia miaka 5 au 18. Then unaanza kila kitu upya kabisa kuanzia miaka hiyo.
Kumbuka unapokuja anza unaanza upya kila kitu lets say unaanzia miaka 5 au 18. Then unaanza kila kitu upya kabisa kuanzia miaka hiyo.